Yanga hizi pesa tunazowachangia Badala ya Kuzitumia kwa Wachezaji wenu Mnaenda Kuhonga wapinzani

Yanga hizi pesa tunazowachangia Badala ya Kuzitumia kwa Wachezaji wenu Mnaenda Kuhonga wapinzani

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Hii tabia ya yanga sisi tunahangaika kuwachangia mkuze viwango na muwape wachezaji wetu mishahara nyie mnaenda kununua mechi inaudhi sana. Mnadhani itatusaidia kitu huko mbeleni?

Team yetu imewekeza sana kwenye UCHAWI NA KUNUNUA MECHI. tunaona mara nyingi team yetu ikibanwa sana wachezaji wa team pinzani wanajifunga.

Hii inatokea pale tu yanga inapocheza...tumeshashtukia huu mchezowa zahera.anatuharibia team yetu. Tutanunua waamuzi na wachezaji wa team pinzani kutupatia ushindi mpaka lini?soka letu limeharibiwa ukiangalia yanga hii hajna inachofanya uwanjani zaidi ya magoli ya kishirikina na kununua au kupewa na marefarii au wachezaji tuliohonga wa team pinzani.

MICHANGO YETU ILIPE MISHAHARA NA MALAZI YA WACHEZAJI.ISITUMIKE KAMA RUSHWA TAFADHALI
 
Alafu wanzanzibar tu..kweli hii timu ya wananchi..
"Yangasc ni lidude likubwa"waziri Mwakyembe
 
Back
Top Bottom