Yanga hoi kwa Azam, yasambaratishwa magoli manne bila majibu

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426

Hakika kila mbabe ana mwamba wake, hivi ninavyoandika hii Dk 45 za first half zimemalizika na kwa kweli Azam ndio waliokuwa juu kwa kila kitu na kila idara.

Kumbe Yanga ni timu mbovu kiasi hiki?

Kama Azam wangekuwa makini mpaka dk hii wangekuwa wako mbele kwa mabao matano, ngoja tuendelee kuangalia .

Kamusoko hoi kwa Salum Abubakar!
========

Yanga imekubali kipigo cha magoli manne bila majibu kutoka kwa Azam FC mjini Zanzibar katika michuano ya mapinduzi inayoendelea ikiwa ni kipigo chake cha kwanza tangu michuano hio ianze.

Sasa Yanga itasubiri mshindi kati ya Simba na Jang'ombe boys ambao watacheza kesho jioni.

USHAURI - YANGA IJITOE KWENYE MICHUANO HII ILI KULINDA HESHIMA YAKE , SIKU IKIKUTANA NA MNYAMA WATAADHIRIKA ZAIDI , HERI LAWAMA KULIKO FEDHEHA .
 

Azam wameshinda ngapi?
 
POVU LINAKUTOKA KUKOJOA AKOJOE MWINGINE KUZAA AZAE SIMBA LOH TULIZA MZUKA
 
Kha! We hujui football, subiri dk 90
 
Yanga hawahawa jaman kweli Mpira wa bongo auna thaman kabisaaaa kufungwa na AZAM mhhhh basi yanga hawana timu ni majanga tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…