Msigazi Mkulu
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 4,160
- 3,368
Acha unafikiSishabikii mpira wa bongo mwaka huu ni upuuzi mtupu ww jiulize timu ipo vizuri inafungwa na timu isiokuwa vizuri si ufala huu ss subirin mkutane na simba
Azam 4 Yanga 0Wanaitazama tupeni update basi, dkk ya ngap na tokeo please,
Yanga kapigwa nne hadi sasaWanaitazama tupeni update basi, dkk ya ngap na tokeo please,
Vyura wameliwa LA 4Acha mbwembwe subiri second half