Nastahili kuwapa pongezi Yanga sports club kwa kupambana mpaka tone LA mwisho ila kwa mtazamo wangu acheni hiki ninachokiita uvivu. Ukweli ni kwamba yanga ni wavivu sana maana tangu michuano hii ya shirikisho ianze awamu hii Yanga hawajawahi kushinda ugenini, hata pale ambapo timu ilishinda nyumbani kwa mabao mengi MF. 5-0, bado timu haikushinda ugenini, huu ni uvivu wa hali ya juu.