Damaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 3,978
- 6,739
Kwenye pita pita zangu nikakutana na habari kuwa Avic town ilipata ugeni kutoka tawi la watu wenye matatizo ya macho. Wanachana wa Young Africans ambao waliwatembelea wachezaji kambini na kuzungumza nao.
Nimepata video fupi inayoonesha namna mpira unaweza kuwa sehemu ya upendo sana. Kwa hili Yanga mmeupiga mwingi. Hongera sana.
Nimepata video fupi inayoonesha namna mpira unaweza kuwa sehemu ya upendo sana. Kwa hili Yanga mmeupiga mwingi. Hongera sana.