Yanga hujipa majina yanayowakera wao

Chapati FC,Mbumbumbu FC,mke wa pili wa Mo na govu moya yalitoka mdomo Gani?
 
Thithi ndiyo da yanga aflika bana,alisikika zwazwa moja la utopolo likijinasibu.
 
Lucky Eymel alisema mashabiki yanga yapo kama mambwa yanabweka wow wow na yanajazwa yanajazika na mataahira kama manara kama manyumbu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Najikaza kisabuni lakini roho inauma🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nimecheka Sana, ni bonge la istory Mimi nilikuwa sijui mengi nimepata elimu na kufurai jinsi mtani anavyojipachika majina mwenyewe, big up sana,
 
Uzi mrefu, halafu umejaa matope tu.
 
RAGE APEWE TUZO
SISI WANA SIMBA NI MBUMBUMBU [emoji16]
Na ukitaka kuamini, subiri watolewe na Wydad hiyo Jumamosi! Kelele zao zitatapakaa kila kona.

Mara wachezaji ni wazee/hawafai! Benchi la ufundi livunjwe! Tuletewe Manzoki na Bobosi!! Kwa hali hii unashindwaje kuwaita mbumbumbu mashabiki wa aina hii!
 
Na ukitaka kuamini, subiri watolewe na Wydad hiyo Jumamosi! Kelele zao zitatapakaa kila kona.

Mara wachezaji ni wazee/hawafai! Benchi la ufundi livunjwe! Tuletewe Manzoki na Bobosi!! Kwa hali hii unashindwaje kuwaita mbumbumbu mashabiki wa aina hii!
Gongowazi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kufika robo fainali LIGI YA MABINGWA sawa na kubeba vikombe viwili vya SHIRIKISHO kombe la waliofeli
 
Hii yote haindoi ubora wa Yanga.

Sana sana labda ni maumivu tu[emoji16]
 
mbele daima nyuma mwiko
 

Attachments

  • nyani.jpg
    9.6 KB · Views: 1
Hii thread kama utapita bila kucheka wewe ni utopolo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nimecheka kifala
 
Haya tupe na historia ya Madunduka sasa mleta sledi.
 

"Ukikopi" habari uwe unaweka na chanzo...

 
kwani unaumia sana???????Ukiweka wewe kuna ubaya gani?????punguza miwasho ya harara na sabuni hii inaitwa KIBUDENGA MKANDAJI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…