tuna tatizo moja sisi watanzania kosa la simba tunapoliongelea tunawahusisha na yanga na la yanga tunawahusisha na simba. MO NI YEYE ALIITAKA SIMBA SIJAWAHI ONA WANASIMBA WAKIMLILIA MO HATA SIKU MOJA. unajisikia vibaya kuisema yanga bila kutaja simba? why? ni kukosa kujiamini. wanasimba kumbuka walikuwa wanabisha sana mo kuchukua team na ndo maana hata mchakato wake umechukua muda na wamekuja kukubaliana kuchukua kwa utaratibu huo wa yeye kuwa na hisa asilimia 49 na wao 51. we huoni walioshinda ni wanasimba?
yanga manji alisema akondishwe kwa miaka 10. hasara wagawane faida ajigawie. sasa hapo huoni kuna tatizo? na ameamua kumwaga manyanga ila wana yanga wanaendelea kulazimisha kuwa yeye ni mwenyekiti wao. huoni ni tatizo ?
Ebu tambueni ni kweli Yanga wanamlilia sana Manji ili awasaidie kuvuka hapa pia kujenga mfumo bora... hizi club ni kongwe lakini hazina kitu zaidi ya mtaji wa watu ambao hawana msaada ndani ya club pia hawajitambui
Ndio maana nasema ni lazima apatikane tajiri mmoja ambae atatumia pesa zake katika kujenga mfumo ilikurudisha imani kwa wanachama bcz kuandaa mfumo wenywe ni pesa sasa wanachama hawaoni mtu mwingine ambae anaweza kukopesha pesa zake ili kusaidia kuijenga Yanga zaidi ya Manji.
Kumbukeni kwa sasa hata kama Club itapata viongozi wote bila ya kuwa na pesa hawezi kusaidia kitu. Club haitaji viongozi wote kawamilike inaitaji pesa ilikufanya mfumo ukamilike...
Ndio maana Unaona Azam ina mtu kwenye pesa then viongozi wanakuja baadaye... Singida ina mtu ambaye anapesa na ushawishi then club inaenda poa somehow...
Simba walimsumbua Mo kwa mlango wa nyuma then akaja na bei yake ya kununua Simba then wanachama bila ku evaluate kawa kubali bcz hawajui thamani ya club yao ingawa walitokea wakina Mzee kilomoni na wengine lakini kwa sababu walipata funzo kutoka kwa Yanga wakawazidi keti na kumpa club Mo na sasa matokeo wanayaona
Huku Yanga walikubali kumpa kwa mkataba Manji wakatokea Watu ambao hawepi maendeleo ya Yanga kawapinga na kuenda mahakamani hao ni wakina Akilimani na wenzie then Tajiri akagoma baada ya kuna pigamizi
Leo akitokea Tajiri anataka kuinunua Yanga na akiwa na pesa utaona wanachama wanamuacha Manji ana kwenda kwa huyo Tajiri bcz wanajua atawasaidia kuibeba. Leo mnataka Viongozi then watu wenyewe wa kuchanguliwa ni wakina Tarimba, Akilimali ambao ambao hawana uwezo wa kutoa pesa kwa ajili ya club. Mfano wakati club inaangaika kumsajili Yondani waliombwa mchango then Tarimba alitoa 2m tuuh lakini kwenye media ajitamba kuwa amemsajili Kelvin .