Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Salaam wakuu
Katika pitapita zangu huku mjini Twitter + mtandao mingine nimeshuhudia watu mbalimbali wakijadili ubora wa benchi la Yanga ......kiasi Kwamba mbinu za Gamondi zatawala michuano ya AFCON.......Kiasi Kwamba wachezaji wa Yanga wayabeba mataifa mengi mfano ... Tanzania.( Mudathiri.)...mali (Diara) ....zambia ( musonda+ chama ....). Congo ( Mayele).....Kenya (abuya)
Je Kwanini Yanga wasianzishe chuo Cha soka Ili at least timu nyingine zipeleke players wao wakasome ....mfano ...Simba Ili wawe Mabingwa ....wakasome pale
NB: unadhani jina la chuo liwe Nini ....Mimi naona liwe Yanga University of football management?