Salaam wakuu
Katika pitapita zangu huku mjini Twitter + mtandao mingine nimeshuhudia watu mbalimbali wakijadili ubora wa benchi la yanga ......kiasi Kwamba mbinu za Gamondi zatawala michuano ya AFCON.......Kiasi Kwamba wachezaji wa Yanga wayabeba mataifa mengi mfano ... Tanzania.( Mudathiri.)...mali (Diara) ....zambia ( musonda+ chama ....). Congo ( Mayele).....Kenya (abuya)
Je Kwanini Yanga wasianzishe chuo Cha soka Ili at least timu nyingine zipeleke players wao wakasome ....mfano ...Simba Ili wawe Mabingwa ....wakasome pale
NB: unadhani jina la chuo liwe Nini ....Mimi naona liwe Yanga University of football management????
umemmsahau mastermind khalid AuchoSalaam wakuu
Katika pitapita zangu huku mjini Twitter + mtandao mingine nimeshuhudia watu mbalimbali wakijadili ubora wa benchi la yanga ......kiasi Kwamba mbinu za Gamondi zatawala michuano ya AFCON.......Kiasi Kwamba wachezaji wa Yanga wayabeba mataifa mengi mfano ... Tanzania.( Mudathiri.)...mali (Diara) ....zambia ( musonda+ chama ....). Congo ( Mayele).....Kenya (abuya)
Je Kwanini Yanga wasianzishe chuo Cha soka Ili at least timu nyingine zipeleke players wao wakasome ....mfano ...Simba Ili wawe Mabingwa ....wakasome pale
NB: unadhani jina la chuo liwe Nini ....Mimi naona liwe Yanga University of football management????View attachment 3093269
Inapedeza sana
Yanga raha sana.Salaam wakuu
Katika pitapita zangu huku mjini Twitter + mtandao mingine nimeshuhudia watu mbalimbali wakijadili ubora wa benchi la Yanga ......kiasi Kwamba mbinu za Gamondi zatawala michuano ya AFCON.......Kiasi Kwamba wachezaji wa Yanga wayabeba mataifa mengi mfano ... Tanzania.( Mudathiri.)...mali (Diara) ....zambia ( musonda+ chama ....). Congo ( Mayele).....Kenya (abuya)
Je Kwanini Yanga wasianzishe chuo Cha soka Ili at least timu nyingine zipeleke players wao wakasome ....mfano ...Simba Ili wawe Mabingwa ....wakasome pale
NB: unadhani jina la chuo liwe Nini ....Mimi naona liwe Yanga University of football management?View attachment 3093269