Yanga ikianza na chama hili,Simba hatoboi

Forest Hill

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2018
Posts
2,873
Reaction score
6,821
Habari ndugu zangu,,Mimi Kama shabiki wa mpira,mwananchi..Kama professor ataanza na kikosi hiki,,Simba Sc watapata tabu Sana...
1: diara
2:djuma
3: Bryson
4:Mwamnyeto au dick Job
5:Bangala..
6:Mukoko
7:Mukoko
8:Aucho
9:Mayele
10:feisal salum "fei Toto" MAESTRO
11: SAIDO

Nasubiri shabiki wa makolo ashuke kikosi chake Cha ushindi...
 
Edit apo kwanza no.6/7 Mukoko.
Alafu usilete kikosi chako uku ukiwa na wenge mtafungwa na Mnyama.
 
yaani keshoo makolo kimbieni, mkiji danganya kupeleka tim tuu, papaa mayele 'ana tetema' mara4, Feisal 2, saidoo1....
 
Habari ndugu zangu,,Mimi Kama shabiki wa mpira,mwananchi..Kama professor ataanza na kikosi hiki,,Simba Sc watapata tabu Sana...
1: diara
2:djuma
3: Bryson
4:Mwamnyeto au dick Job
5:Bangala..
6:Mukoko
7:Mukoko
8:Aucho
9:Mayele
10:feisal salum "fei Toto" MAESTRO
11: SAIDO

Nasubiri shabiki wa makolo ashuke kikosi chake Cha ushindi...
Simba 3 yanga 0
 
yaani keshoo makolo kimbieni, mkiji danganya kupeleka tim tuu, papaa mayele 'ana tetema' mara4, Feisal 2, saidoo1....
Ni lini Mara ya mwisho ulimfunga khamsa mnyama, au ndo mpaka kagoli ka sangoma?
 
Screenshot_20211210-203702.jpg
 
Back
Top Bottom