Nasikia kenda nyoa mavu.. ili kesho atembee uxhi, nasubiri kwa hamuKwa maandalizi ya uhakika wanayofanya Yanga huko kambini na hali ya taharuki inayoendelea katika kambi ya wamchangani huko visiwani nachelea kusema simba hatoweza kupata sare sahau kuhusu kumfunga yanga hivyo basi simba akishinda jmosi nahaidi kutembea bila nguo kwanzia hapa tandale mpaka madale.
basi ulipanga utembee uchi hadi kwa Mondi wenu[emoji23][emoji23][emoji23]Kwa maandalizi ya uhakika wanayofanya Yanga huko kambini na hali ya taharuki inayoendelea katika kambi ya wamchangani huko visiwani nachelea kusema simba hatoweza kupata sare sahau kuhusu kumfunga yanga hivyo basi simba akishinda jmosi nahaidi kutembea bila nguo kwanzia hapa tandale mpaka madale.
Du Historia inajirudia ingawa SIREDI ya kitambo.
Ndio nimemaliza kutembea hapa Madale. Mnaotaka picha mje ghetto.
Kwa maandalizi ya uhakika wanayofanya Yanga huko kambini na hali ya taharuki inayoendelea katika kambi ya wamchangani huko visiwani nachelea kusema simba hatoweza kupata sare sahau kuhusu kumfunga yanga hivyo basi simba akishinda jmosi nahaidi kutembea bila nguo kwanzia hapa tandale mpaka madale.
VP game ya kesho utakunya or utatembea uchi 😂 😂Tunafukua makaburi[emoji23][emoji23][emoji23]
Yuko vizuri, tatizo waweza sikia ni shoga!!!View attachment 1024543kaonekana madale
Usikohoe maana simba hawachelewi kukushtaki kuwa umewafanyia shambulio la aibuKho kho kho kho kho kho kho kho kho kho
Hahahahaahahahahahaha yaaani mechekaaaUsikohoe maana simba hawachelewi kukushtaki kuwa umewafanyia shambulio la aibu
Mkuu upo tandale sehemu gani? Nataka nikuone unapoanza safari