Yanga ikifungwa Jumamosi natembea bila nguo

Tunahofia wang'oa viti. Wamejiandaa kufanya yao. Hakuna namna nyingine lazima wapigwe tu
 
Ubebe kabisa na vaselini, usisahau.
 
Bado nina.imani na Barcelona ila jiangalieni Napoli sio watu wazur msije shangaa BARCA anapita Madrid anakwenda nje


Real Madrid always Hasta El Final!!! Barcelona kwenye [HASHTAG]#UCL[/HASHTAG] ishakuwa marehemu subirini next season tu.
 
Mtani kesho tunawaua 3 bila!
kuna mpuuzi flani wa fisiemu alisemaga kuwa zitto kabwe akilud bungeni angetembea uchi tok kibaha hadi posta lakini hadi leo hajakamilisha ahadi yake!!!!!
 
Labda kama mtakuwa mmeshakula yale mambo yenu
 
Hawana gharama hao,viroba 2 unang'oa mzigo
 
mkuu, hii haijakaa sawa. watu wanataka kupata uhakika wa kuona vyombo vyako live (me/ke).

sasa wewe mjanja..hapa umetutega. Yanga yako ikifungwa siku hiyo, umejipa kijanja option ya kuvaa rambo, visafeti, jute bags, makaratasi.... utadai siyo "nguo".

sema utatembea UCHI watu tujiandae na popcorn zetu tukisubiri kuangalia erotica movie ya dezo bana!!
 
Mungu anakuona mkuu.
 
Hivi simba na azam mfadhili mmoja?maana simba wanakaa hotel ya bakhresa ....hakuna mgongano wa kimaslai
 
Lakini umejazia ? Siyo tuone fito zinakatiza barabarani .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…