Yanga ikifungwa na el merrekh nipigwe ban

Umetumwa, au!! Sasa ukipigwa hiyo ban yako tutapungukiwa nini humu jukwaani?

Mashabiki wote wa Yanga leo tunaitakia ushindi timu yetu, lakini wakati huo huo tunawaheshimu Al Merreikh.
Huyu kama hana akili basi katumwa...., hawa ndio wachawi wenyewe!
 
Umetumwa, au!! Sasa ukipigwa hiyo ban yako tutapungukiwa nini humu jukwaani?

Mashabiki wote wa Yanga leo tunaitakia ushindi timu yetu, lakini wakati huo huo tunawaheshimu Al Merreikh.
Ningekua mshabiki wa mpira ningekua na mtazamo kama wako mkuu heshima lazima iwepo ili muweze kushinda mechi
 
Naongezea....
Kesho makolo wakivuka kwenda robo fainali naomba nipigwe ban.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…