Muhimu tu ukumbuke kuja kuomba radhi baada mchezo kutamatika.El merekh 3.
Yanga 1.
Tukutane baada ya game
Same prediction as mine,, hawatoamini macho yaoEl merekh 3.
Yanga 1.
Tukutane baada ya game
Sawa Mwaula nimekuelewaUwe na huruma kidacha
Eeeee sasa na wewe kwanini uniite kidacha ? [emoji3]Mwaula tena?
Tumekusoma MkuuIwapo yanga akifungwa Leo naomba nipigwe ban tu
Kwenye hiyo post, bonyeza Report Button
Mkuu CAPO DELGADO umesikika boss simripoti wacha nivunge .ACHA UTOTO WEMA.
Mashabiki WA Simba hawana akili za kitoto kama hivyo.
ACHA kutudhalilisha Wana LUNYASI.
[emoji777]