Yanga ikifungwa najisikia raaaaha saaana!

Yanga ikifungwa najisikia raaaaha saaana!

SAYVILLE

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2010
Posts
7,895
Reaction score
12,975
Yaani hapa bando linakaribia kukata wala sishtuki, napanga kuongeza lingine fuleshi tuu.

Mechi ijayo mnacheza na nani? Mmesusaa hamtaki kunijibu? Hata msiponijibu najua mnaenda kudunguliwa tu hahah!

Soma Pia: FT: Young Africans SC 0 - 2 Al Hilal | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 26.11.2024 |

Ushauri wangu, rudini tu katika sindano zenu. Mkidakwa itakuwa ajali kazini, uzuri tuna bosi mkuu, Rais wa vilabu vyoote vya chibuku atatulinda!
 
IMG-20241126-WA0077.jpg
 
Back
Top Bottom