Yanga ikiifunga Simba mara tatu mfulululizo, Eng. Hersi ajengewe sanamu pale Jangwani

PAZIA 3

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
1,102
Reaction score
1,919
Mimi naamini, itakuwa siyo habari ya kushangaza yanga kuishinda Simba kwasababu tayari viongozi na benchi la ufundi linazo sababu za kupoteza mchezo wa Leo.

Lakini ikiwa hivyo kweli, napendekeza Eng. Hersi akumbukwe kwa kujengewa sanamu pale Jangwani kama kumbukumbu za kumfunga mtani mara tatu mfulululizo.

Huyu Engineer ametufanya wana Yanga kuwa na jeuri na kujiamini sana.
 
Hili nalo muhimu.
 
Back
Top Bottom