mpimamstaafu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 4,445
- 4,707
Hakika sasa nimejua kwanini Yanga wanajiita eti Mabingwa wa Kihistoria.Sababu kubwa ni pale Yanga ikikosa Ubingwa inaona ijifariji kwa kujiita eti Mabingwa wa kihistoria.
Nimefuatilia Vilabu vingi Duniani kama kipo klabu kinajiita hivyo Hakuna nimefuatilia Mataifa kama Brazil pamoja na kuchukua Ubingwa wa Dunia wanajiita Mabingwa wa kihistoria sijaona popote.
Yanga kama huna Ubingwa huna tu huna sababu ya kujiita eti Mabingwa wa kihistoria hakuna Bingwa wa Cheo hicho katika Kandanda.