mpimamstaafu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 4,445
- 4,707
Niumie kwanini wakati najua hawana Ubingwa wowote wao ni kama Ndanda tu Mabingwa wanajulikana mkuu au umewasahau?Mkuu unaumia sana [emoji23][emoji23].
Simba original wote wanajua na wako kimya na Hati yao mmebaki Simba Chipolopolo kutupigia kelele humuNiumie kwanini wakati najua hawana Ubingwa wowote wao ni kama Ndanda tu Mabingwa wanajulikana mkuu au umewasahau?
Mkuu punguza jazba hakuna hicho cheo katika KandandaSimba original wote wanajua na wako kimya na Hati yao mmebaki Simba Chipolopolo kutupigia kelele humu
Awe bingwa, asiwe bingwa, ukweli huo utabaki hivyo hadi apatikane mwingine.Hakika sasa nimejua kwanini Yanga wanajiita eti Mabingwa wa Kihistoria.Sababu kubwa ni pale Yanga ikikosa Ubingwa inaona ijifariji kwa kujiita eti Mabingwa wa kihistoria.Nimefuatilia Vilabu vingi Duniani kama kipo klabu kinajiita hivyo Hakuna nimefuatilia Mataifa kama Brazil pamoja na kuchukua Ubingwa wa Dunia wanajiita Mabingwa wa kihistoria sijaona popote.Yanga kama huna Ubingwa huna tu huna sababu ya kujiita eti Mabingwa wa kihistoria hakuna Bingwa wa Cheo hicho katika Kandanda.
Wazungu hawana usenge huo wa kujiita eti mabingwa wa historia ni hapa hapa kwa waswahili wakikosa Ubingwa wanaonawajifariji hata kwa cheo ambacho hakipoAwe bingwa, asiwe bingwa, ukweli huo utabaki hivyo hadi apatikane mwingine.
Bingwa wa kihistoria yupo kila nchi.
EPL yupo Man U. La liga yupo Real Madrid.
Wazungu hawana usenge na uzuzu wa ku kukataa appreciate historical champions.Wazungu hawana usenge huo wa kujiita eti mabingwa wa historia ni hapa hapa kwa waswahili wakikosa Ubingwa wanaonawajifariji hata kwa cheo ambacho hakipo
Hakika sasa nimejua kwanini Yanga wanajiita eti Mabingwa wa Kihistoria.Sababu kubwa ni pale Yanga ikikosa Ubingwa inaona ijifariji kwa kujiita eti Mabingwa wa kihistoria.
Nimefuatilia Vilabu vingi Duniani kama kipo klabu kinajiita hivyo Hakuna nimefuatilia Mataifa kama Brazil pamoja na kuchukua Ubingwa wa Dunia wanajiita Mabingwa wa kihistoria sijaona popote.
Yanga kama huna Ubingwa huna tu huna sababu ya kujiita eti Mabingwa wa kihistoria hakuna Bingwa wa Cheo hicho katika Kandanda.
Pole sana mkuu, ila ndiyo ukweli na ikiwezekana uwe na Panadol karibu unapo iwaza Yanga maana kichwa lazima kikuumeHakika sasa nimejua kwanini Yanga wanajiita eti Mabingwa wa Kihistoria.Sababu kubwa ni pale Yanga ikikosa Ubingwa inaona ijifariji kwa kujiita eti Mabingwa wa kihistoria.
Nimefuatilia Vilabu vingi Duniani kama kipo klabu kinajiita hivyo Hakuna nimefuatilia Mataifa kama Brazil pamoja na kuchukua Ubingwa wa Dunia wanajiita Mabingwa wa kihistoria sijaona popote.
Yanga kama huna Ubingwa huna tu huna sababu ya kujiita eti Mabingwa wa kihistoria hakuna Bingwa wa Cheo hicho katika Kandanda.
Hao watakuwa wazungu wa manzese,na sina uhakika kama huwa unafuatilia mpiraWazungu hawana usenge huo wa kujiita eti mabingwa wa historia ni hapa hapa kwa waswahili wakikosa Ubingwa wanaonawajifariji hata kwa cheo ambacho hakipo
Aliyekuroga kafa aiseeMkuu ni sawa kwa Ndala kujiita Mabingwa wa Kihistoria kwani ubingwa kwao wameshausahau umebakia historia tu.
Hawa ni Mabingwa wa Kihistoria na si Mabingwa wa Makombe.