Yanga ilichukizwa na Simba kutoa sare mchezo na Mbeya city

Yanga ilichukizwa na Simba kutoa sare mchezo na Mbeya city

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Hakika Yanga timu ya wananchi hawakupendezwa na droo waliyopata Simba dhidi ya Mbeya City mgongea msumari akiwa Tariq Seif pale uwanja wa Sokoine.

Baada ya gemu ile viongozi na wachezaji wa Yanga waliwafwata viongozi na wachezaji wa Simba na kuhakikisha watalipa kisasi, hii ilisaidia kupunguza machungu kwa Simba japo walikuwa wagumu kuamini.

Mchezaji mmoja wa Simba jimba kapuni alisema wale Mbeya City hawafai, wana balaa uwanjani, wanakimbia dakika 90 zote na pia wanapiga soka la kitabuni, Pro Nabi akawajibu tulieni.

Wote jana tumekuwa mashahidi Fistoni Kalala mayele kapiga goli mbili goli zote tamu kabisa na kazitoa kwa ajli ya Simba, hakika kuna baadhi ya washabiki wameishukuru sana Yanga

Ila kama vile wahenga walipata kusema, kwenye kila msafara wa mamba pia kenge lazima wawepo wapo, mashibiki wa timu tuliyoilipia kisasi wameendelea kuichukia Yanga

Hakika mfadhili mbuzi utakunywa supu, utakula nyama na kupata mbolea, pia atakuburudisha na mlio wake na siyo binadamu.
 
Hakika yanga timu ya wananchi hawakupendezwa na droo waliyopata Simba dhidi ya Mbeya city mgongea msumari akiwa Tariq Seif pale uwanja wa Sokoine.

Baada ya gemu ile Viongozi na wachezaji wa Yanga waliwafwata viongozi na wachezaji wa Simba na kuhakikisha watalipa kisasi hii ilisaidia kupunguza machungu kwa Simba japo walikua wagumu kuamini.

Mchezaji mmoja wa Simba jimba kapuni alisema wale Mbeya city hawafai wana balaa uwanjani wanakimbia dakika 90 zote na pia wanapiga soka la kitabuni Pro Nabi akawajibu tulieni.

Wote jana tumekua mashahidi Fistoni Kalala mayele kapiga goli mbili goli zote tamu kabisa na kazitoa kwa ajli ya Simba hakika kuna baadhi ya washabiki wameishukuru sana Yanga

Ila kama vile wahenga walipata kusema kwenye kila msafara wa mamba pia kenge lazima wawepo wapo mashibiki wa timu tuliyoilipia kisasi wameendelea kuichukia Yanga

Hakika mfadhili mbuzi utakunywa supu utakula nyama na kupata mbolea pia atakuburudisha na mlio wake na sio binadamu.
Shabiki wa yanga yuko tayari kumshabikia mwarabu dhidi ya simba leo hii ndo ailipie simba kisasi. Simba na yanga siyo watani wa jadi bali ni maadui wa milele. Mimi pekee yangu shabiki wa yanga ambaye hufurahia simba ikifunga kama itacheza na timu ya nje ya tanzania. Ila ndani wanasimba huwa wananisamehe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shabiki wa yanga yuko tayari kumshabikia mwarabu dhidi ya simba leo hii ndo ailipie simba kisasi. Simba na yanga siyo watani wa jadi bali ni maadui wa milele. Mimi pekee yangu shabiki wa yanga ambaye hufurahia simba ikifunga kama itacheza na timu ya nje ya tanzania. Ila ndani wanasimba huwa wananisamehe

Sent using Jamii Forums mobile app

Kaka mkubwa upo mbali Yanga alishawahi kufanya figisu Simba isishuke daraja kwenye msimamo ilikua timu ya nne kutoka mkiani wakati zilitakiwa kushuka timu 3 leo ungekua unaisikia simba ikipambana na Pamba,toto, mwadui kupanda daraja

Yanga kambeba sana Simba sema jamaa korofi tu ila alitakiwa kumheshimu sana yanga
 
Back
Top Bottom