Yanga ilikuwa ikicheza na Mtibwa lakini katika mechi ikatokea offside upande wa Mtibwa ambayo haikuwa ya kweli

Kitambi chakufutia tachi

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2019
Posts
1,063
Reaction score
2,566
Leo Yanga ilikuwa ikicheza na Mtibwa lakini katika mechi ikatokea offside upande wa Mtibwa ambayo haikuwa ya kweli lakini jambo hili halijawa gumzo sana.

Tukio lile ingelikuwa limetokea upande wa Simba nchi nzima ungesikia Simba Wanabebwa. VAR FC chezeni mpira acheni Malalamiko. VAR=Vyura Assistance Referee
 
Tatizo kubwa huwa tunaangalia matukio ya soka, kwa jicho la ushabiki.Hata mijadala na michanganuo yetu tumeilekeza kishabiki zaidi,kuliko kuzungumzia ukweli,tulazima kuwa vipofu na kuwa na macho ya makengeza,kwenye baadhi ya matukio usimba+ uyanga unachukuwa nafasi kubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tarimba kachimba mkwara kuacha kudhamini timu ndio maana TFF wanawayawaya
 
Kwani Yanga hawakuathiriwa na jambo kama hilo kwenye hiyo mechi?
 
Simba kwa kuwa ni kweli wanahonga marefa na wachezaji wa timu pinzani....huu ndio ukweli., Simba nyie mashabiki mkileta fyoko fyoko tutaleta ushahidi....baachi ya viongozi wenu wanaujua mchezo huu na ndio maana hawazungumzii issue hii
 
Ata ukijaribu kutaka ku unganisha vimatukio vya ku ungaunga haiondoi habari ya Simba kubebwa. Yanga inapata matokeo kwa jasho na kupambana kiume.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi,kule kubebwa kwa Yanga jana dhidi ya Mtibwa hujaona?
Kama ilivyochambuliwa inayoitwa Offside ya Kagere,ambayo Simba ilishinda 3-2 dhidi ya Namungo ambayo kiuhalisia ilikua kweli ni tata,basi ukweli usemwe kuwa jana Mtibwa walisingiziwa kwa kuzuia mtu wao kufunga wakati alikua sehemu ambayo,hakua OFFSIDE.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simba kwa kuwa ni kweli wanahonga marefa na wachezaji wa timu pinzani....huu ndio ukweli., Simba nyie mashabiki mkileta fyoko fyoko tutaleta ushahidi....baachi ya viongozi wenu wanaujua mchezo huu na ndio maana hawazungumzii issue hii
Badala ya kutishia kutoa ushahidi, unatakiwa uutoe kwa uhalisi kabisa. Hii tabia ya kusema nitaleta ushahidi ni ya kisiasa hivi, toa ushahidi au msaidie Kabwili kutoa ushahidi. Dogo kaongea sasa anahangaika hadi amemsababishia presha bi mkubwa
 
Simba kwa kuwa ni kweli wanahonga marefa na wachezaji wa timu pinzani....huu ndio ukweli., Simba nyie mashabiki mkileta fyoko fyoko tutaleta ushahidi....baachi ya viongozi wenu wanaujua mchezo huu na ndio maana hawazungumzii issue hii
Weka ushahidi acha mboyoyo! Yaani viongozi wa Yanga wawe na ushahidi wa jambo kama hilo eti walikalie kimya,haingii akilini
 
Sawa. Ila weka pia kioo cha pili kwenye miwani yako uone penalti iliyonyimwa na kadi nyekundu juu pale Shaaban Kado alipomchomekea zote mbili (yaani kumkwatua kwa kumwelekezea njumu za viatu vyote viwili) Sibomana wakati akielekea kufunga.
 
Hivi Sibomana yupo? Mbona siku hizi baridi sana?
 
Pia mechi ya Prison dkk ya 33 mchezaji wa Yanga aliunawa waz wazi mpira ndani ya Kisanduku lkn mwamuzi alipeta. Vyura wana bebwa kimtindo halafu wanaanikiza kelele kama jadi yao, hivyo lazima uwazoee maaana wengi wao ni Bongozozo tu.
 
Yanga wanabebwa sana kuanzia media hadi uwanjani.
Na mmezoea kulia lia sana kwa jinsi mlivyokuwa mnabebwa wakati wa malinzi.Sasa mnaona zile favor hazipo na hata mnapobebwa mnashinda bado mnalalamika
Nawaona mna tatizo kubwa la kisaikolojia kuliko uhalisia ulivyo.

Simba hawalalamiki hovyo hovyo kama mnavyofanya.Kwani tunajua udhaifu wa waamuzi wetu.Hata yule mama wa match ya Simba na Yanga aliwabeba kwa kuwapa Simba Penalty badala ya mchezaji wenu kutolewa kwa Red card!Mshukuruni sana yule mama maana goli ambazo mgepigwa msingesahau.Ila kwa msivyo na akili mnamlalamikia huyo mama licha ya kwamba aliwapunguzia aibu kubwa ya muongo
Ata ukijaribu kutaka ku unganisha vimatukio vya ku ungaunga haiondoi habari ya Simba kubebwa. Yanga inapata matokeo kwa jasho na kupambana kiume.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…