rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Ilo swali ungekua na akili ungejiuliza kipindi kile kagere anapewa penati baada ya kukwetuliwa njeKadinari Pengo aliwahi kusema "Je mnauchukia ufisadi kutoka moyoni au mnauchukia ufisadi kwa sababu nyinyi hamjapata nafasi ya kua mafisadi"? Na mimi nawauliza nyie simba koko mbumbumbu fc mnachukia Yanga kubebwa leo kutoka moyoni au kwa sababu sio nyie mliobebwa?
Kwani umeambiwa sina akili jiheshimu mzee uheshimiwe tujise kuharibiana siku. .. Na wewe kama ungekua na akili mngekua manaanzisha nyuzi kama hizi madudu kama hayo yakitokea na kwenye mechi zenu nyie mbumbumbu fc.Ilo swali ungekua na akili ungejiuliza kipindi kile kagere anapewa penati baada ya kukwetuliwa nje
Yanga ni mechi nyingi msimu huu marefa wamechezesha kwa makosa mkafaidika nayo, Sisi Simba tunapiga kelele kuunga juhudi ili haya makosa ya marefa yaishe kama mlivyokua mmepiga kelele sana kipindi kile. Ko sio kwamba tunasema kwa kua nyie mnapendelewa ila tunachukia vitendo vya marefa
Usisahau mechi ya Yanga vs Simba ya January, Kagere alifanyiwa faulo nje ya 18 lakin refa alitenga tuta. Uwe unaweka kumbukumbu sahihi.
Sent using Jamii Forums mobile app
IHata kadi nyekundu,aliyedanya foul anaachwa anapewa aliyefanyiwa foul
Nyie tako moko buana.
I
huyu anatakiwa kufungiwa hata mwaka,inakatisha sana tamaa kwa timu iliyocheza vizuri kama kagera sugar tena kwa nidhamu wanafanyiwa uhuni kama ule,hata kama ni kubebwa ile ni ya wazi kabisa hata wasiojua soka wanaelewaHuu upuuzi haukubariki, haiwezekani uigharimu timu uje uombe msamaha kirahisi hiviView attachment 1494000
Wewe ni utopolo akili za utopolo tunazijua ni kama za mtoto wa mwishoIlo swali ungekua na akili ungejiuliza kipindi kile kagere anapewa penati baada ya kukwetuliwa nje
Yanga ni mechi nyingi msimu huu marefa wamechezesha kwa makosa mkafaidika nayo, Sisi Simba tunapiga kelele kuunga juhudi ili haya makosa ya marefa yaishe kama mlivyokua mmepiga kelele sana kipindi kile. Ko sio kwamba tunasema kwa kua nyie mnapendelewa ila tunachukia vitendo vya marefa
Mwaka ni kifungo kidogo adhabu ya chini inayomfaa ni miaka 3huyu anatakiwa kufungiwa hata mwaka,inakatisha sana tamaa kwa timu iliyocheza vizuri kama kagera sugar tena kwa nidhamu wanafanyiwa uhuni kama ule,hata kama ni kubebwa ile ni ya wazi kabisa hata wasiojua soka wanaelewa
Pumbavu limechukua hongo halafu. Linajifanya linaomba radhiHuu upuuzi haukubariki, haiwezekani uigharimu timu uje uombe msamaha kirahisi hiviView attachment 1494000
Hujui kuwa pale alibebwa yanga, Yondani alitakiwa ale umeme na adhabu ndogo.Usisahau mechi ya Yanga vs Simba ya January, Kagere alifanyiwa faulo nje ya 18 lakin refa alitenga tuta. Uwe unaweka kumbukumbu sahihi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunakumbuka vizuri migoli ya offside ya Kagere na Bocco mechi za Namungo, Polisi,Mwadui pia mechi ya kwanza penalty ya KagereWazee wa Mbeleko.. Eti aliyechezewa foul ndo anapewa kadi...Hata km mbeleko hii imezidi