YANGA IMEIFUNGA GOLI 10-1 TIMU YA DARAJA GANI?

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
4,445
Reaction score
4,707
Wadau Mabingwa wa kihistoria Yanga jana wameshinda mechi yao kwa kuifunga timu ya huko Morogoro magoli 10-1.Hakika ni ushindi mnono lakini je hiyo timu ni ya daraja la ngapi?
 
Madereva wa bodaboda
 
Hawa ndio vijana tishio kutoka Morogoro waliofungwa na Yanga!
IMG_20190716_153835.jpeg
 
Ajabu eti balinyaaaa striker wao wa kimataifa amefunga ka goli kamoja!

Timu inamtegemea ngasa inajielewa kweli??

Ligi ikianza malalamiko buku!
 
Tulia tukutane ligi kuu
 
Wadau Mabingwa wa kihistoria Yanga jana wameshinda mechi yao kwa kuifunga timu ya huko Morogoro magoli 10-1.Hakika ni ushindi mnono lakini je hiyo timu ni ya daraja la ngapi?
Kwani Máshujaä fc na Green warrior ni timu za daraja gani?
 
NGASSA yupi?

Back
Top Bottom