Kurunzi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2009
- 9,753
- 10,747
Yanga wapo kwenye kiwango bora cha maisha yao. Kweli itatuweka huru. Japo ni kweli iliyobeba gharama zenye hisia ya maumivu kwa mashabiki wa Simba.
Yanga wanacheza kitimu katika muunganiko uliotukuka. Wame copy na ku paste maisha ya 'siafu.' Hakuna kutegeana, timu ina morali kama haijawahi kushinda chochote.
Fighting spirit yao inakushawishi usadiki. Kama hakutatokea mauza uza ya VAR na figisu za marefa. Wanaweza kuileta ndoo ya CAF champions league Afrika Mashariki."
Simba inaonekana imechoka. Ikiwa inajitafuta ndani ya pori ambalo hakuna windo. Lini itajipata?! Linabaki kuwa swali gumu ambalo lipo katikati ya topic ambayo bado haijafundishwa.
Bado wiki ligi ianze Simba inahaha kutafuta striker.
Kusajili wachezaji wenye viwango vya kawaida. Wanaokuzwa na promo za "Ahmed Ally" siku ya Simba day. Huu umekuwa utaratibu ambao viongozi wameurasimisha uwe sehemu ya utamaduni wa klabu.
Moja kati ya kosa kubwa linaloigharimu simba sasa. Ni kucheza mechi za pre season ikiwa imejificha. Utafikiri inashiriki tendo la uzinifu au biashara ya kuuza ngada Misri.
Wangeonyesha mechi za pre season. Mashabiki tungeona mapema madhaifu ya timu na uwezo duni wa "Mukwala."
Tungepaza sauti asajiliwe mtu katili anapotazamana na uso wa goal. Huenda muda huu huyo striker angekuwa ameshaanza kuuzoea mfumo.
Acha tuwe na akiba ya maneno japo hakuna bank inayoruhusu mtu kufanya hivyo. Ila kuitazama simba ya sasa, inahitaji mtu uwe na msokoto wa bangi pembeni."