mwembemdogo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 2,282
- 1,252
nisawa na kumuacha demu alafu utaki agegedwe.Kwa hiyo mlivyo mtimua kessy mlitegemea akae tuu bila kufanya mazoezi au mlitaka akafanye mazoezi wapi
msimu ujao kessy atawatesa sana kama ilivyo kuwa Kwa tambwe eti agban anawaletea mshikaji wake kuwa Bonge LA streka
Wazee wa kulialia...Mie nadhani wakati umefika Kwa Wizara ya habari kusimamia vilivyo chaguzi za viongozi wa vyama vya michezo hapa nchini.Nashauri hivyo kutokana Na TFF kukaa kimya wakati Klabu ya Yanga Kwa makusudi imemfanyisha mazoezi mchezaji Kessy ambaye ana mkataba Na Klabu yake ya Simba.TFF hiyo hiyo ikijua kabisa kuwa Klabu ya Yanga haikuwa Na kamati ya Utendaji bado ikaruhusu ijiundie kamati batili iliyosimamia Uchaguzi wake Na Rais wa TFF anautangazia umma eti anaipongeza klabu ya Yanga kufanya uchaguzi huku akijua dosari za uchaguzi huo. Wakati umefika Wizara iangalie viongozi wanagombea uongozi katika vyama wawe wanaupeo sio ******.
Acheni kulalamika jipangani kutoka matopeni...yanga si saizi yenu tena badala ya kujipanga namna ya angalau kujinasua kwenye matope mnabaki kupiga majungu
Ndo kazi yenu hio kudandiadandia timu......zile level zingne nyie wamatopeni hamna haki ya kuchangia huku nenden kachangien kule kwenye ndondo cup ya dk mwakaNaona saizi yenu ni Mo Baseiya. Na mtapigwa kama mbwa kwenye hili maana nyinyi hamna wa kumfunga hapo hata moja.
Au hutaki aolewenisawa na kumuacha demu alafu utaki agegedwe.
TFF wamepeleka majina ya wachezaji hao CAF bila kikao halali cha kupitisha usajili. Hii ni aibu kuu kwa TFF. Kwanini kila jambo linalohusu Yanga TFF linapindisha sheria zao wenyewe.?
Na hao wanaosema Kessy amemaliza mkataba na Simba toka 15 june si wamchezeshe? wanahofia nini?
TFF hii ni janga la kitaifa kwa soka letu
Nimeipenda hiinisawa na kumuacha demu alafu utaki agegedwe.
Ana hoja ya msingi tatizo ameshindwa kuinisha na kunyambulisha hojaAcheni kulalamika jipangani kutoka matopeni...yanga si saizi yenu tena badala ya kujipanga namna ya angalau kujinasua kwenye matope mnabaki kupiga majungu
Nyamaza wewe mwehu. Hujui lolote. Mchezaji ana mkataba na Simba unasoma utakwisha 30june2016, ana local licence ya Simba. Lini alipewa local licence ya Yanga? huyo si mchezaji wa Yanga.acheni upopoma WENU mwacheni Dogo acheze mpira nyie si mmesha sajili straiker hatari ama nn