Albinoomweusi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,433
- 8,585
Asante sana ndugu kwa uungwana wako siyo wale wanaobeza tu, hata Mungu IPO siku haya yatapita, Mungu atafanya njia na tutatoboa inshaalahPoleni Yanga kwa magumu mnayopitia...
Wewe unashangaza. Kuna kosa mtu kutoa pole kwa magumu tunayokutananayo? Sasa ulitaka watusodoe? Uungwana ni kupeana pole. Wakati mwingine sisi tunapenda sana wenyewe kunenwa vibaya kwa mitazamo kama yako.Eti mashabiki wa simba wanatoa pole! Tayari wamesha sahau ni miaka michache tu walikuwa katika hali kama wanayopitia Yanga.
Sisi tulimtegemea Manji na ninyi mnamtegemea Mo! Akitoka leo hii huyo Mo wenu kwenye timu, na ninyi mtarudi kule kule! Jambo la msingi ni kuhakikisha timu zetu zinabadili mifumo yao ya kiuendashaji. Zianze kujiendesha sasa kisasa na kama taasisi! badala ya kumtegemea mtu mmoja.
Simba mmeanza na Yanga tutafuata. Huu ni wakati wa mpito tu kama mliopitia nyinyi miaka michache iliyopita kiasi cha kuifanya Yanga kuchukua ubingwa wa ligi kuu kwa mara tatu mfululizo.
Kwa Simba je [emoji881][emoji881][emoji881][emoji881][emoji1320][emoji1320]kwa yanga hii ukicheka ukilia sawa mana waweza cheka kwa uchungu pia waweza cheka kwa masikitiko
Sent using Jamii Forums mobile app
Wasema kweli? alitangazwa kwa mbwembwe siku ile ya bakuli kubwa kuliko
Kwa Simba je [emoji881][emoji881][emoji881][emoji881][emoji1320][emoji1320]
Sent using Jamii Forums mobile app