Tuachieni wenye Yanga yetu. Nyie endeleeni na Simba yenuDar es Salaam Young Africans maarufu kama Watoto wa Jangwani au Wananchi, kwa muda wa miaka 24 sasa hawajafuzu kucheza hatua ya makundi michuano ya Klabu bingwa Afrika tangu ilipofuzu kwa mara ya mwisho mwaka 1998. Je, nini kifanyike ili wananchi wawe na makali kwenye michuano hii kama waliyonayo watani wao Simba Sports Club?View attachment 2406607View attachment 2406609View attachment 2406610
bado nafasi tunayo na ndio maana tunaondoka mapema ili tukazoee mazingira na kufanya mazoezi kwa nguvuDar es Salaam Young Africans maarufu kama Watoto wa Jangwani au Wananchi, kwa muda wa miaka 24 sasa hawajafuzu kucheza hatua ya makundi michuano ya Klabu bingwa Afrika tangu ilipofuzu kwa mara ya mwisho mwaka 1998. Je, nini kifanyike ili wananchi wawe na makali kwenye michuano hii kama waliyonayo watani wao Simba Sports Club?View attachment 2406607View attachment 2406609View attachment 2406610
kama hauna cha kuchangia kutokana na mada bora ukae kimya,kuliko kujifanya nawew unajua michambo ya kike,,Tatizo ni ule mwiko
... na mihogo juuYaani unakuta mtu katoka kusindilia ugali wake na maharage!
Siku kolo yakiskia Nabbi kaondoka au katimuliwa yatashangilia sana alafu baadae yataivheka yanga kua mliekua mnalinga nae kaondoka, tutawanyorosha.Ifikie wakati Moderator aunganishe hizi mada za Yanga!! Yanga!! Yanga!! Maana sasa zinachosha!.
Yaani unakuta mtu katoka kusindilia ugali wake na maharage! Ameshiba ndii!! Kinachomjia kichwani ni kuanzisha mada inayohusu Yanga!!
Wewe nawe ukishashiba mihogo yako unakuwa na gubu sana wacha watu watiririkeIfikie wakati Moderator aunganishe hizi mada za Yanga!! Yanga!! Yanga!! Maana sasa zinachosha!.
Yaani unakuta mtu katoka kusindilia ugali wake na maharage! Ameshiba ndii!! Kinachomjia kichwani ni kuanzisha mada inayohusu Yanga!!
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]na zimekuwaa nyingi utafikirii jamii forum inamilikiwa na GSMIfikie wakati Moderator aunganishe hizi mada za Yanga!! Yanga!! Yanga!! Maana sasa zinachosha!.
Yaani unakuta mtu katoka kusindilia ugali wake na maharage! Ameshiba ndii!! Kinachomjia kichwani ni kuanzisha mada inayohusu Yanga!!
kama hauna cha kuchangia kutokana na mada bora ukae kimya,kuliko kujifanya nawew unajua michambo ya kike,,
Hii nayo ni adhari ya kula mihogoSiku kolo yakiskia Nabbi kaondoka au katimuliwa yatashangilia sana alafu baadae yataivheka yanga kua mliekua mnalinga nae kaondoka, tutawanyorosha.
Alafu hao wanaongea kweny camera hapo wengi ni kolo, wanaweka pressure kiboko yao aondoke. Na kweli majinga yanawaamini na huenda viongozi wakafuata mkumbo.
Ntasikitika sana Nabbi akiondoka.
Lengo utopox mfe vibuduIfikie wakati Moderator aunganishe hizi mada za Yanga!! Yanga!! Yanga!! Maana sasa zinachosha!.
Yaani unakuta mtu katoka kusindilia ugali wake na maharage! Ameshiba ndii!! Kinachomjia kichwani ni kuanzisha mada inayohusu Yanga!!
... na mihogo juu
Hakuna shida shabiki wa simba akivaa jezi ya yanga na akaenda taifa akidai yeye ni shabiki wa yanga ila hawawezi kufikia kiwango cha ujinga walichokifanya yanga kwenda airport kuwapokea wageni ule ndio uzumbukuku.Siku kolo yakiskia Nabbi kaondoka au katimuliwa yatashangilia sana alafu baadae yataivheka yanga kua mliekua mnalinga nae kaondoka, tutawanyorosha.
Alafu hao wanaongea kweny camera hapo wengi ni kolo, wanaweka pressure kiboko yao aondoke. Na kweli majinga yanawaamini na huenda viongozi wakafuata mkumbo.
Ntasikitika sana Nabbi akiondoka.