Yanga imlipe fidia Niyonzima

Mburura sisi tunajadili mazingira ya kosa lenyewe na mahitajii yake kisheria. Otherwise sipotezi muda wangu na kiazi kama wewe. Tafuta law of contract usome itakusaidia hata kwa baadaye. Pole sana na kwa heri.
CHOKO MKUBWA Tu Ww!! KAMA Ww Unajua Sheria Ya Mikataba Si Ungeenda Kuwasaidia Hao Unaowatetea Nimekupa Mf. Ya Wachezaji Hao Ambao Walikuwa Wamefanya Hayo Hayo, MATOKEO Yake Pesa Imelipwa!!!!!!?? JIBU Swali La Msingi, Je Why Hadi Sasa Mchezaji Hajakabidhiwa Termination Letter of Contract!!!?? Ni KUMEKUWA Kikwazo Kwa Klabu!!!!!?? HAPO Wanaoijua SHERIA Ya Mikataba Na Wanaoujua Au Waliouona Mkataba Kati Ya Klabu Na Mchezaji WAMEGUNDUA UDHAIFU Uliopo, Ndio Maana Hiyo Barua Imekwama!! Laiti Klabu Ingekuwa Au Itatoa Hiyo Barua Basi IKUBALI Kumpoteza Mchezaji Bure!! Sasa Ww Unayejiita Msomi, Tena Wa Sheria, Hauna Lolote, CHOKO Tu!!! Badala Ya Kujibu Maswali Na Hoja Unajifanya Msomi Wa MATUSI!! Shoga Mkubwa!!!
 
Bye, mr lunatic
 
Wataalam wa sheria haya mtujuze Yanga wametumia kipngele kipi katika hivi vinavyosemeka apa kuvunja mkataba dhidi ya Haruna Niyonzima na kumtaka awakipe fidia ya mil 143 za Kitanzania.
mkataba ni maridhiano au makubaliano miongon mwa pande mbili, kwenye mkataba kuna terms au vipengele, upande mmoja unapovunja kipenge hata kimoja, automatic huo mkataba ni void...sasa kwa yanga hatuujui mkataba wao na nionzima una terms gani, lakini naamn yanga ni club yenye wasomi kuliko club zote za football tz ..kwahiyo hawawez kukurupuka
 
Hatumtaki sasa Hiv tuna kamusoko pale kati hatuna haja nae,anatulingia lingia km demu bhana!
Haya Sasa Kama Kweli Mna NGUVU Ya Kumkataa Haruna Niyonzima, Pingeni Sasa Tuwaone!! Wenyewe Wamechemka Na Kumrudisha Kundini!!!!
 
Kweli Ni Klabu Inayoongozwa Na Wasomi Kuliko Klabu Yoyote Hapa Bongo, Na HAWAWEZI Kufanya Maamuzi Ya KUKURUPUKA!!! Je, Usomi Wao Na Umakini Wao Ndio MATOKEO Yenyewe Ni Hayo Ya Kuramba Matapishi Yao!!!??? Soka La Bongo MAGUMASHI Matupu!! Na USHABIKI Wetu Maandazi Ndio UMEZIDI Kutupeleka Shimoni!! Viongozi Wetu Wa Vilabu Na Taasisi Za Michezo Wanavuruga, Si Tunaleta Ushabiki, Badala Ya Kuwakemea!!!! Ndio Haya Tunayoyasikia Na Kuyaona, Mara WANATANGAZA Kuvunja Mkataba Kati Ya Klabu Na Mchezaji, Na Waliotangaza Kuvunja Mkataba Ndio Wanadai Mamilioni Ya Pesa Kama Fidia!! Mara Tena Tumemsamehe, Hivyo Arejee Kundini!!!! ALAFU SHABIKI Naye Anapayuka Humu, Eti Klabu Hii Inaoongozwa Na Viongozi Wasomi Na Makini Kuliko Klabu Yoyote TANZANIA, Hawawezi Kufanya Maamuzi Ya Kukurupuka!!!! Tehe! Tehe! Tehe!!! Kwa Viongozi Hawa Na Washabiki Wa Aina Hii, Soka Letu Tutasubiria Saanaa!!! SHABASHIIII!!!
 
Natamani kusoma maoni ya Nyenyere, bingwa wa kutetea maboko ya uongozi wa Yanga. Tulisema sana lakini hakusikia, sasa amekuwa mpole
 
Haya Sasa Kama Kweli Mna NGUVU Ya Kumkataa Haruna Niyonzima, Pingeni Sasa Tuwaone!! Wenyewe Wamechemka Na Kumrudisha Kundini!!!!


Walikurupuka! Period! Wasamehewe kwa kutambua kosa na kujipanga upya
 
Natamani kusoma maoni ya Nyenyere, bingwa wa kutetea maboko ya uongozi wa Yanga. Tulisema sana lakini hakusikia, sasa amekuwa mpole
Sio Amekuwa Mpole Tu, Amejitia Upofu Na Uziwi!!! Alisema Hapa, Eti YANGA Inaoongozwa Na Viongozi Wasomi Kuliko Klabu Yoyote Hapa TANZANIA!!! Kamwe Hawezi KUFANYA Maamuzi Ya KUKURUPUKA!! Tulisema Viongozi Wa YANGA Wamekurupuka Kwa Uamuzi Walioufanya!!! HAIWEZEKANI Ww Ndiye Umevunja Mkataba Na Wkt Huo Huo Udai Fidia Ya Mamilioni Ya MAPESA!!!!! Na Eti Kumzuia Kucheza Mpira Kokote Pale, Hadi Amelipa Hiyo Fidia!!!! Tulisema Hilo Halipo Na Haliwezekani!!! Nyenyere Akatoka POVU La Mdomoni!!! MATOKEO Yake Leo AMEKIMBIA!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…