Yanga ina mpango wa kumsajili beki wa kulia wa Al Ahly

Umenifanya nicheke sanaa

I'm the girl from nowhere,... the one no one will miss .... that's why they choose me...[emoji97]
 
Aje awachezee Yanga kwenye hizi mechi zao na kina alikiba??
 
Jamaa fundi sana..anafanya nini Afrika
 
Jadirini goli kumi ktk Michezo miwili ya Yanga hamuyawezi,

Shimo alilochimba As vita mwarabu kalipanua sasa kila aina na size itapita bila shida
 
Wachezaji mnashindwa kuwalipa mishahara halafu mnawaza vitu vikubwa nyie saizi yenu ni kina Bobani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…