Yanga inaenda kufa kifo cha mende?

Mpira sasaivi sio tena wa oyaoya hasa kama unataka kufanya vizuri kimataifa.Kunahitaji maandalizi makubwa nje ya uwanja yaani kwenye uongozi.Mfano timu kama ya Pyramid ilijiandaa zaidi nje ya uwanja hivyo ukija ndani ya uwanja ni rahisi tu kuwaleta hao akina Mohamed saidi,Fakhi,na wenzao.Ukitaka usajiri wachezaji wazuri na kocha wakati mfumo wa uongozi upo vibaya huwezi kufanikiwa.Mfano tangia uongozi wa man u uliokuwepo chini ya Babu Feg kustaafu wakaja akina Ed unaona united inakwama.Ac Milan alivyotoka Belescon imeyumba hadi sasa.Hivyo Yanga hata isajiri leo akina Samata,au iinunue timu nzima ya Raja cansablanca basi lazima washindwe tu kwa sababu hakuna uongozi imara.
 
Nakuhakikishia hii yanga inaweza kucheza mpira mzuri hata wasipokuwa na kocha ila tu zahera ndo alikuwa anairudisha nyuma. Nakuhakikishia pia mechi inayofuata yanga itacheza vizuri si kama chini ya mwinyi
 
Kwa kiasi nakubaliana na wewe ila kusema zahera alikuwa tapeki nadhani uungwana umekipita kidogo(huna).Lakin yanga ndio itakuwa imara ila uongozi usipobadilika kimtazamo basi tegemea matumaini hewa.
Kwa muda mrefu sana sijaona uongozi Wa Yanga unaoongoza kwa weredi kama huu.
 
Unapoteza muda waku kuandika siredi ndeeeefu,wakati ukweli unaujua......endeleeni kuwa watabiri
 
Yanga itakuwa bora kuliko wakati wowote ule, kufukuzwa kocha ni kawaida hata Ulaya Klabu zinafukuza sana, Zahera hakuwa kocha yule alikuwa tapeli
Tatizo hamtaki kuambiwa ukweli. Kama kweli una akili za kutosha jibu hizi hoja za Zahera.
Your browser is not able to display this video.
 
Mpira ni mchezo wa wazi weka hapa data zako ili tuone fact kuwa amecheleweshwa.Tiririka kaka.
Kwa uzuri siku moja tulikutana wakati nipo TZ nikamweleza makosa yake ya kucheza mpira kwa mdomo. Hakunielewa alikasirika sana! Nikampa mfano wa mwanamuziki darasa aliyesema’acha maneno piga muziki’ nikamwambia acha maneno fundisha mpira, watu tunataka kuona magoli siyo ‘ati hii inaitwaje mukiswahili, kombineisyoni......’
 
Yametimia
Your browser is not able to display this video.
 
You are not serious dude! Zahera amecheleweshwa unless wewe shabiki/mpenzi wa simba
Ni kweli kabisa Zahera walimchelewesha sana hata mwaka jana tulikuwa tnashindia bahati tu kufungwa ni kawaida lakini mpira ambao wachezaji walikuwa wanacheza ulikuwa wa hovyo sana tangu achukue yeye timu tulibebwa tu na juhudi za wachezaji
 
Huwezi Sema wachezaji wangu ni wa ligi siyo wa kucheza kimataifa! Kwani mpira wa ligi ni nusu kilo wakati wa international games wanautumia ni kilo 100? Ni tapeli tu
 
Powa kesho sio mbali ila haki ya nani kuna matatizo ya nje ya uwanja ndio yanayokwamisha timu,yasiporekebishwa utaona mwenyewe
Nakuhakikishia hii yanga inaweza kucheza mpira mzuri hata wasipokuwa na kocha ila tu zahera ndo alikuwa anairudisha nyuma. Nakuhakikishia pia mechi inayofuata yanga itacheza vizuri si kama chini ya mwinyi
 
Si kweli uweledi katika nini?mavyeo kibao wanateuana na kuhamishana vitengo kama serikali ya awamu ya tano,na bado hakuna kitu????
Kwa muda mrefu sana sijaona uongozi Wa Yanga unaoongoza kwa weredi kama huu.
 
Mimi sio mjinga,siwezi kupoteza muda hayo ni maoni yangu kama unataka kupinga tiririka.Hili jukwaa huru
Unapoteza muda waku kuandika siredi ndeeeefu,wakati ukweli unaujua......endeleeni kuwa watabiri
 
Unamaanisha kuwa hana mbinu za mchezo au?
 
Unataka kupiga propaganda hapa.Hivi unadhani kwa nini timu ikipanda ligi kuu huwa inabadili baadhi ya wachezaji na benchi la ufundi?unataka kusema wachezaji wa kucheza vpl na polisi Tz ndo utacheza nao ukipangwa na wydad casablanca?kwa nini usipigwe 10 nje ndani kama wanamsimbazi?

Kimataifa na local unafananisha?you can't be serious.!!!
Huwezi Sema wachezaji wangu ni wa ligi siyo wa kucheza kimataifa! Kwani mpira wa ligi ni nusu kilo wakati wa international games wanautumia ni kilo 100? Ni tapeli tu
 
Mkuu, ungekuja kushauri kabla hajatumbuliwa.. Now is too late
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…