Yanga inaendeshwa kwa fedha walizoibiwa watanzania haiwezi kufanikiwa

vibesen xxx

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2022
Posts
3,187
Reaction score
6,620
Nyuma ya Mwarabu wa yanga anasimamia pesa za wanasiasa

Watanzania maskini wanakosa huduma, wanasiasa wanachota pesa kwenda kutakatisha kwenye timu ya yanga ili kupitisha ajenda zao za kisiasa

Kama ilivyo simba hata yanga hawezi kufanikiwa kimataifa
 
Nashangaa sana kila nikiona mwanamageuzi anayejitambua anayeshabikia Yanga. Kuna watu hawaielewi hii nchi vizuri.
 
Ni sawa tu, hata akina Mo hao pesa wanayoendeshea Simba wanatoa wapi kama sio kukwepa kulipa kodi halali nk.
 
Ni sawa tu, hata akina Mo hao pesa wanayoendeshea Simba wanatoa wapi kama sio kukwepa kulipa kodi halali nk.
Biashara za mo zinajulikana zilikotoka tangu enzi za mababu zake walangua korosho na ufuta. Huyo jiesiem ukiacha enzi zile za hom shoping cent unawaweza trace back walianzia wapi? Mana babake garib huyu unayemjua ni mwarabu wa songea alikuwa choka mbaya tuu.

Utajiri wa wa gsmm ni kama wa balesa tyu hauleweki ulikotokea hahahaq
 
Siongelei source ila naongelea namna wanavyoendesha biashara zao kwa sababu hao hao utakuta wakati wa uchaguzi ndio tena wafadhili wa ccm baadaye lazima wapewe fadhila.
 
Siongelei source ila naongelea namna wanavyoendesha biashara zao kwa sababu hao hao utakuta wakati wa uchaguzi ndio tena wafadhili wa ccm baadaye lazima wapewe fadhila.
Rudi kwenye comment yako, ulizuliza pesa wanatoa wapi? Hiyo ni kutaka kujua source
 
MO alivalishwa Kanga Ili kushinikiza alipe fedha na Maliza umma alizo hujumu. Kuanzia Mashamba ya Mkonge Morogolo na biashara ya Vifungashio/ Magunia yakorosho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…