Azam akishinda mechi zote atakuwa na points 69, Yanga ina points 68, Yanga ikitoa sare mechi ua kesho watalinga points na Azam, Kwenye head to head Azam yupo juu.
HEAD TO HEAD
Yanga 3 – 2 Azam
Azam 2 – 1 Yanga
Azam ana magoli mawili ya ugenini, Yanga analo moja, kwa kigezo hiki Yanga inahitaji points 70 na sio 69,
Kesho Yanga wasicheze kwa kurelax, wahakikishe wazoa points zote
Tatizo ni elimu mkuu, mtu anaandika uzi bila kuwa na uelewa tosha juu ya hilo jambo.Watanzania tokea mkalilishwe na CAF ile kua Team zikilingana Points Team itakayopita tutaangalia Head To Head...basi mmejisahau kabisa mnahisi hata League kuu hua wanaangalia hizo Head To Head we Mbumbumbu Ligi hawaangalii Head To Head wanaangalia Goal Difference
picha ya kwanza ni CAF
Ya Pili ni Ligi kuu
SOMA MANENO YA MWISHO KWENYE KILA PICHA YALIYOPO CHINII
View attachment 2989051View attachment 2989052