We mwenye akili, unawezaje kujibu hoja za manara zisizo na kichwa wala Miguu.. Yeye anachojua kuamka na kuitukana Yanga... Sasa kama una akili utataka ufanane na Manara?... Nafurahi kama hajibiwi.. Mwisho wa safari atalia machozi kuwashika watu uchawi.... Mpira hauchezwi mdomoni...
"Ukifuga njiwa utajua bei ya mtama"