balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
King Kibaden Mputa alithinitisha hili juzi akiwa na Bin ZuberyWananchi wote wa Tanzania ni Yanga,ila Bangi tu ndo imewatenganisha baadhi yao
Haizidi mitano ya watu wale msisahauKweli kilele cha kushindwa kufika kileleni miaka 4 unaweza kuwa chizi ..yani mnatia huruma
Kolo acha makasiriko,ebu kunywa maji kwanzaUshamba na ulimbukeni ni mzigo sana
Kwasababu umenunua chupi ya Gucci kwa $200 umeona kuivaa ndani ya nguo watu hawawezi kujua kuwa nawewe unavaa vitu vya thamani mpaka ukaivaa nje kama superman?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ushamba na ulimbukeni ni mzigo sana
Kwasababu umenunua chupi ya Gucci kwa $200 umeona kuivaa ndani ya nguo watu hawawezi kujua kuwa nawewe unavaa vitu vya thamani mpaka ukaivaa nje kama superman?
Ukame mbaya sana"Yanga tunakwenda kuwafundisha watu jinsi ya kushangilia UBINGWA"
"Tofauti ya Yanga na timu zingine ni kwenye ufanyaji wa shughuli zake, Just imagine kuna watu ubingwa waliubeba kwenye Kenta"
"Tumeomba viongozi wa Uwanja wa Sokoine na wa bodi ya ligi kusogeza nyuma muda wa kucheza kutoka saa 10 Jioni hadi saa 9 alasili ili Wananchi baada ya mechi waanze kuserebuka na kombe lao"
"Kwa kuwathamini mashabiki wetu baada ya kumaliza shangwe uwanjani Sokoine, sherehe zitaendelea, kutakuwa na After part kama kawaida jijini Mbeya"
"Jumapili tutarudi Dar na ndege ✈️ kama kawaida yetu, na tayari Yanga tumeshashusha basi jipya maalumu kwa ajili ya kushangilia Ubingwa wetu wa mara ya (28)"
"Basi letu jipya limeshavuka boda kuja Tanzania,, Basi letu halina tofauti na basi la Liverpool, Real Madrid, Manchester city,, Tarehe 24 Juni litakuwa limeshafika Dar es Salaam"
"Kwa mara ya kwanza Tanzania basi la namna hii linaletwa na Yanga SC. Basi letu jipya ndilo litawabeba Wachezaji wetu terminal (3) Jijini Dar es Salaam, litasindikizwa na farasi, gari maalumu hadi Airport"
"Wananchi wanapaswa kufika mapema terminal (3) siku ya jumapili"
"Tukishatua litawabeba Wachezaji wetu, tutapita kwenye baadhi ya mitaa kama Kamata, Chang'ombe, MSIMBAZI, hadi Jangwani. Na baada ya kufika Jangwani tutafanya DUA maalumu kumshukuru Mungu"
"Baada ya DUA watu wote watapiga mpunga, tutakuwa na chakula kwa ajili ya mashabiki wote pale klabuni Jangwani,, Kisha tutamkabidhi kombe mwenyekiti wetu Dr Mshindo Msolla"
"Nimeshaongea na kamanda wa usalama jijini Dar es Salaam kuomba maaskari kutulinda kwenye msafara wetu,, tutazunguka mitaa yote jijini Dar es Salaam tutaufunga mji ... Tutakwenda hadi Posta zilipo ofisi za GSM kushangilia kombe letu"
"Baada ya kutoka GSM, sherehe zitahamia KIDIMBWI, mashabiki wetu wote watapata fursa ya kupiga picha na kombe"
"Kutakuwa na burudani za kutosha kutoka kwa wasanii wakubwa hapa nchini kama wakina Marioo nk...."
"Kuna msanii mkubwa sana atakuja kutumbuiza kwenye sherehe hizi za Ubingwa wetu. Ni rafiki yangu mkubwa sana na anajua matatizo niliyopitia kwa muda ule"
"Wananchi wanapaswa kujua, hili ni basi letu Wanayanga litakuwepo kushangilia UBINGWA wa (FA) pia, sherehe tutàfanya mwezi mzima wa (7), Wale wawe hoi na sie tue hoi 😆"
🔍 Haji Manara msemaji wa Yanga SC
Kumbe wewe ulipokaa miaka 5 bila kombe siyo habari au unajitia kusahau?Wanastahili miaka minne ni mingi sana kama mlibeba mapinduzi tu mkafanya fujo dar nzima mmeshinda kombe ni haki yenu.
Pole sana ni maisha tuUshamba na ulimbukeni ni mzigo sana
Kwasababu umenunua chupi ya Gucci kwa $200 umeona kuivaa ndani ya nguo watu hawawezi kujua kuwa nawewe unavaa vitu vya thamani mpaka ukaivaa nje kama superman?
Unaumia?Hayo mambo yanaweza ku-matter ikiwa kombe ni either la mashindano ya CAFCL au CAFCC, kwa kombe hili la ligi ji kupoteza muda na wala habari haiwezi kwenda viral.
Namaanisha uwekezaji kwenye ushangiliaji wa aina hiyo ni zaidi hata ya hela mnazopata.
Nipe jicho lako nijipoze.Unaumia?
Dah eti TAKADINI [emoji3][emoji3] Yaani nachukia sana ubaguzi sasa najikuta nacheka.Huyo msanii mkubwa anaemsema yeye Takadini kuwa ni rafk ake na anajua magumu aliyopitia ni huyu DOMOKAYA au yupi?
Ila SOPE ana heka heka tangu atoswe wazi wazi na yule Player kawa km chizi vilee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwanza huyu naonaga wanamchekea na anawakuta anaowacharuaga ni wamepooza, angekutana na mtu km mie ningemuoshaaa angekuwa wa zambarau na sio ile rangi ya chekundu mpauko.Dah eti TAKADINI [emoji3][emoji3] Yaani nachukia sana ubaguzi sasa najikuta nacheka.
Pesa ni za GSM wewe unateseka na nini?Hayo mambo yanaweza ku-matter ikiwa kombe ni either la mashindano ya CAFCL au CAFCC, kwa kombe hili la ligi ji kupoteza muda na wala habari haiwezi kwenda viral.
Namaanisha uwekezaji kwenye ushangiliaji wa aina hiyo ni zaidi hata ya hela mnazopata.
Kuna sehemu nimesema kuwa nateseka? We utakuwa na njaa hii asubuhi.Pesa ni za GSM wewe unateseka na nini?
mwaka huu mtavaa chupi kichwaniNipe jicho lako nijipoze.
Basi lao.si lile TATAHuku mnasema basi letu jipya, kichwa cha habari mmekodisha..doh ama kweli Utopolo aisee..