Yanga inakwenda kutufufundisha jinsi ya kushangilia, basi kama la Liverpool lakodishwa afrika kusini, burudani ni next level, haijawahi kutokea


Gharama za kushangilia ubingwa ni zaidi ya pesa walizopata kwenye ubingwa
 
Yaani yanga ina watu wajinga aisee!!! Kha!! Kwanza mngejifunza jinsi simba ilivyo waaga wachezeji wao bwalya na wawa hilo tu tosha kuwaonesha kuwa simba ni timu ya aina gani kule kwenye nani zaidi mmepigwa vibaya mno[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bro tulia acha makasiriko....YDMNM
 
Hapo kwenye mpunga nitakuja.
Wale wa Coca-Cola wassng walinibania uwanja wa taifa.
Hapo yanga yupo pamoja nakuja
 
Dah mnakwama wapi?
 
Sawasawa.. kuanzia kesho tunaenda kusimamisha nchi.. this is Young African.. Makolo kuchukuwa hili kombe labda ni 2031
 
Sana..ila kulikosa kombe miaka minne sio mchezo..ww fikiria wakafanya hata mchakato wa kununua kombe jipya..hizi akili hzi
Wewe ni Boya tu.. hv miaka mingapi tumewaachia kombe kwanza mlikuwa mnachukuwa kwa presha.. Yanga ikaamua kuchukuwa kombe haichukuwi kwa presha mechi 10 tu zinaonesha dira ya ubingwa.. Halafu mnasahau kuwa Makolo mmekaa zaidi ya miaka mitano ndo tukaja kuwaachia kombe..
 
Kuna jipya gani ? Niyonzima , Nadir Haroub , Ngassa waliagwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…