Yanga inalindwa kama Benki na timu rafiki

Yanga inalindwa kama Benki na timu rafiki

Naanza kuielewa NBC ligi mdogo mdogo, kumbe Yanga haitakiwi kushinda, Mada za lawama na mayowe zinaibuka kama uyoga kutokana na hatari inayoinyemelea Simba kwa gari la Yanga kuwaka!!
 
Back
Top Bottom