bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,323
- 4,679
Ni bahati mbaya tu Yanga inakosa kama wahenga walivyopata kusema tenda wema nenda zako usisubiri ahsante waliona mbali kwani ukisubiri ahsante unaweza kuishia kula matusi, dharau hata kupigwa.
Kwa Soka letu hili halina ubishi yanga ndio klabu inayoongoza kwa kuibua na kukuza vipaji vya wachezaji wengi ila mwisho wa siku wanaondoka vibaya pale Yanga, mchezaji anakuja Yanga akiwa Zero then akiwa hero anaanza dharau na viburi juu.
Hawa ni wachezaji ambao Yanga iliwapika vizuri na kuwa ni viwango bora ila mwisho wake hawakuondoka vizuri.
Metacha Mnata. japo kakiri kosa na kurudi.
Feisal Salum.
Vicent Bousou.
Frank Domayo
Ngoma
Chirwa
Haruna Niyonzima
Papy Kabamba
Saido Ntibanzonkiza
Benard Morrison japo karudi Kundini
Ben Kakolanya...nk
Wapo wengi tu.