Yanga inaumiza hisia zetu Simba

Yanga inaumiza hisia zetu Simba

kilwakivinje

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
6,184
Reaction score
9,407
Kama mwana Simba lialia niseme ukweli Yanga inaumiza hisia zetu sana. Tumekuwa ni wa kusubiri Yanga ifungwe lakini wapi!

Sisi tunadondosha alama Yanga inabeba zote. Tumekuwa watu wa kutafuta visingizio vya hapa na pale kupooza mioyo yetu kuhusu ushindi wa Yanga, ili hata kuwatoa waamuzi mchezoni lakini wapi!

Tuliamini Mayele hatafunga tena lakini ndiyo kama gari limewaka, inaumiza sana.

Sisi Simba tukubali tu hatuna kikosi, mashabiki oya oya, uongozi wa kishikaji!

Nachukia kuitwa Ngada FC.
 
Kama mwana simba lialia niseme ukweli yanga inaumiza hisia zetu sana. Tumekuwa ni wa kusubiri yanga ifungwe lakini wapi.

Sisi tunadondosha point yanga inabeba zote. Tumekuwa watu wa kutafuts visingizio vya hapa na pale kupooza mioyo yetu kuhusu ushindi wa yanga ili hata kuwatoa waamuzi mchezoni lakini wapi

Tuliamini Mayele hatafunga tena lakini ndio kama gari limewaka inaumiza sana

Sisi simba tukubali tu hatuna kikosi mashabiki oya oya uongozi wa kishikaji

Nachukia kuitwa ngada fc
Utopolo mkubwa wewe.
Hakuna mwana Simba anayeshtuka na michezo ya kuigiza ya utopolo.
 
Hakika aliewaita utopolo aliwaza mbali sana
Kama mwana simba lialia niseme ukweli yanga inaumiza hisia zetu sana. Tumekuwa ni wa kusubiri yanga ifungwe lakini wapi.

Sisi tunadondosha point yanga inabeba zote. Tumekuwa watu wa kutafuts visingizio vya hapa na pale kupooza mioyo yetu kuhusu ushindi wa yanga ili hata kuwatoa waamuzi mchezoni lakini wapi

Tuliamini Mayele hatafunga tena lakini ndio kama gari limewaka inaumiza sana

Sisi simba tukubali tu hatuna kikosi mashabiki oya oya uongozi wa kishikaji

Nachukia kuitwa ngada fc
 
Kama mwana simba lialia niseme ukweli yanga inaumiza hisia zetu sana. Tumekuwa ni wa kusubiri yanga ifungwe lakini wapi.

Sisi tunadondosha point yanga inabeba zote. Tumekuwa watu wa kutafuts visingizio vya hapa na pale kupooza mioyo yetu kuhusu ushindi wa yanga ili hata kuwatoa waamuzi mchezoni lakini wapi

Tuliamini Mayele hatafunga tena lakini ndio kama gari limewaka inaumiza sana

Sisi simba tukubali tu hatuna kikosi mashabiki oya oya uongozi wa kishikaji

Nachukia kuitwa ngada fc
Na kesho mvua ikinyesha tu kule Mbeya! Tunadondosha pointi 3 nyingine! Mwaka mwingine mgumu huu kwa wana msimbazi.
 
Back
Top Bottom