Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Baada ya kuendelea kuifanyia tathimini ( uchambuzi) mechi ya wydadi Casablanca ( mabingwa wa Africa) na Makolo mabingwa wa .mapinduzi cup nimekuja kugundua yafuatayo
Kwa mpira wa spidi wanaocheza Yanga+ counter attack Yanga wangeweza kumuadhibu mwarabu ( ywdad) Kwa magoli zaidi ya 5
Uwepo wa wachezaji wasio wazito ( loading...) Kwenye kufanya maamuzi ya kufunga....kama mayele, musonda na Mwamnyeto Yanga ingempiga haswa wydadi Kwani walielemewa hasa
NB: tumuombee huyu kolo (bingwa wa mapinduzi cup) apigwe tu [emoji23]