Toka Kibu awafundishe jinsi ya kufunga kwa counter attack, sasa mnajifanya wataalamu. Niambie kabla ya goli la Rivers, Yanga mara ya mwisho wamefunga goli la counter attack ni lini.Baada ya kuendelea kuifanyia tathimini ( uchambuzi) mechi ya wydadi Casablanca ( mabingwa wa Africa) na Makolo mabingwa wa .mapinduzi cup nimekuja kugundua yafuatayo
Kwa mpira wa spidi wanaocheza Yanga+ counter attack Yanga wangeweza kumuadhibu mwarabu ( ywdad) Kwa magoli zaidi ya 5
Uwepo wa wachezaji wasio wazito ( loading...) Kwenye kufanya maamuzi ya kufunga....kama mayele, musonda na Mwamnyeto Yanga ingempiga haswa wydadi Kwani walielemewa hasa
NB: tumuombee huyu kolo (bingwa wa mapinduzi cup) apigwe tu [emoji23]View attachment 2601388
Wanaosema mashoga wameongezeka hawajaona Idadi ya vichaa.Baada ya kuendelea kuifanyia tathimini ( uchambuzi) mechi ya wydadi Casablanca ( mabingwa wa Africa) na Makolo mabingwa wa .mapinduzi cup nimekuja kugundua yafuatayo
Kwa mpira wa spidi wanaocheza Yanga+ counter attack Yanga wangeweza kumuadhibu mwarabu ( ywdad) Kwa magoli zaidi ya 5
Uwepo wa wachezaji wasio wazito ( loading...) Kwenye kufanya maamuzi ya kufunga....kama mayele, musonda na Mwamnyeto Yanga ingempiga haswa wydadi Kwani walielemewa hasa
NB: tumuombee huyu kolo (bingwa wa mapinduzi cup) apigwe tu [emoji23]View attachment 2601388
Naunga mkono hojaBaada ya kuendelea kuifanyia tathimini ( uchambuzi) mechi ya wydadi Casablanca ( mabingwa wa Africa) na Makolo mabingwa wa .mapinduzi cup nimekuja kugundua yafuatayo
Kwa mpira wa spidi wanaocheza Yanga+ counter attack Yanga wangeweza kumuadhibu mwarabu ( ywdad) Kwa magoli zaidi ya 5
Uwepo wa wachezaji wasio wazito ( loading...) Kwenye kufanya maamuzi ya kufunga....kama mayele, musonda na Mwamnyeto Yanga ingempiga haswa wydadi Kwani walielemewa hasa
NB: tumuombee huyu kolo (bingwa wa mapinduzi cup) apigwe tu [emoji23]View attachment 2601388
Yaah mkuu.... that's y tupo vzr kwenye Kila sectorSema mafans wa Uto mnaongoza kujitoa akili sana aise.
Mshasaau juzi juzi tu mmekandwa na Simba.
Poor utopolo.View attachment 2601403
Tulitunza nguvu za kumpa shoo mke wa pili RiversSema mafans wa Uto mnaongoza kujitoa akili sana aise.
Mshasaau juzi juzi tu mmekandwa na Simba.
Poor utopolo.View attachment 2601403
Kwa sababu wote walobaki huwaza baada ya kuongea na si kablaKwann mkuu
Nipo huku Tanganyika pembezoni mwa upwa wa Ziwa Tanganyika hapa wilaya ya TanganyikaNipo hapa jijini Casablanca mkuu.....upo Jiji gan hapa Morocco