Nimeshakunywa maji mengi sana mkuu mpaka nimekuwa kama Ray!Kunywa maji mkuu[emoji23]
Ushahamia kwa wapigania uhuru.Yanga waliohusika kupigania uhuru
Sometimes Tunaangalia ubora wa kikosi na past performancesBali upo VP?
Mpira unapimwa vile jinsi timu zilivyokutana na matokeo yalikuwaje.
Haupimwi kwa kelele za WACHA MBUZI uchwala mitandaoni.
Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
Hata kama timu inafungwa?Sometimes Tunaangalia ubora wa kikosi na past performances
Kumbe mpira watu wanafata history na sio current performance..Yanga mara mwisho kufungwa ni Lin......ukitoa mechi ya Simba ( ambayo inajulikana uloz ulitumika)