Yanga "INOGILE" fundi Niyonzima nae aongeza mkataba mchana huu!

Niyonzima bado haijaeleweka mana alishindwa kusafiri jana.Buswita kutoka Mbao ndio kasaini leo mchana Yanga
 
Yanga ndio habari ya 'mujini' kwa sasa!
Sasa huyo si mchezaji wenu siku zote, hebu weka habari mpya hapa. Kama Ajibu kutua Yanga na zingine. Wechezaji wana ongeza mkata sio habari mpya. Unajua kipindi hiki cha usajili wachezaji hutengeneza dili na waandishi wa michezo, kujifanya wanaongea na timu nyingine, ili timu yake ya zamani imuongezee dau fasta, ama timu inayotajwa hii inaitwa kupindishwa thamani, ukizingatia mpira wetu ni wa kujifurahisha sisi wenyewe tu, na malengo ya mbele, Simba amtambie Yanga na Yanga amtambie Simba basi, nasio kutambia vilabu vya nje.
 
Yanga anamfukuza mwizi kimya kimya hadi ajisalimishe polisi mweyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…