Yanga inyang’anywe point zote kwa kumtumia Kessy - Rage

Hayo maoni ya rage ni matatizo ya kuvutia bange chooni
Ingekuwa vyema akaisoma vizuri hiyo hukumu kabla ya kuropoka
Kama hata bangi hujui kuiandika sembuse hiyo hukumu utamudu hata title yake kweli?
 
Manji ni mvurugaji wa soka alafu sijui mnatafuta mchawi ganj zaidi yake.

Mo hawezi fanya upuuzi wa Manji.
Naona sasa soka tutabaki na la epl.

Simba msichukue hicho ki sent,nendeni FIFA
 
Yanga wapokonywe vp Ikiwa Tff wenyewe ndio walimuizinisha mchezaji acheze, tatizo lipo TFF maana kuna siasa za uyanga na usimba
 
Alienda Algeria kuishangilia MO BEJAIYA baada ya kufungiwa na club yake...
 
Points zipi? Ligi ya mabingwa au shirikisho? Wakati Vpl inaanza kessy alikuwa na mkataba na simba?
YAANI HAWA JAMAA NI MAP*****VU SANA.

.
.
.
waende CAF wadai yanga ipokonywe point za CAF.
 
Manji ni mvurugaji wa soka alafu sijui mnatafuta mchawi ganj zaidi yake.

Mo hawezi fanya upuuzi wa Manji.
Naona sasa soka tutabaki na la epl.

Simba msichukue hicho ki sent,nendeni FIFA


Kabla manji hajaingia Yanga (Kwenye soka) Taifa Stars ishawahi kuonyesha matumaini.....?

Watu wenye ngozi nyeusi acheni uvivu wa kufikiria.... [emoji23]

Soka la Bongo linaharibika vipi...
 
Yanga wapokonywe vp Ikiwa Tff wenyewe ndio walimuizinisha mchezaji acheze, tatizo lipo TFF maana kuna siasa za uyanga na usimba

Afadhali wewe kidogo umeongea Jambo ambalo halijaegemea pande yeyote...

Sasa hao mbumbumbu.... wanataka Yanga watumikie kosa la TFF.... [emoji23]
 
Simba fanyeni hivyo wajifunze Sheria za mpira
Sheria za mpira ni uwanjani, na zipo 17. Hii ya Simba Koko inaitwa 'tafuta ahueni'. Miaka 4 bila kunusa nje sasa mnahaha na kila mbinu. Njooni uwanjani mpigwe bao, acheni majungu.

Hapo hakuna jungu mkuu,tulieni sindano iwaingie,mshazoea kuzingua..
Rage ana hasira na Yanga na hana cha kuwafanya sasa anapagawa. Nenda kamwambie tumemuacha Mbuyu Twite, maana alilia machozi tulipompiga bao la usajili. Na hapo ndio utajua Yanga si watu wa mchezo mchezo. Zimebaki points 2 mnaweweseka kwa kuwa tunawapumulia mgongoni tehe tehe tehe
 
Yebo hovyo sana,naunga mkono hoja.
Ngassa
Twite
Yondani
Tambwe
Tumewapiga bao la mkono kwote huko, bado unatuita hovyo? Kama Yanga ni hovyo, utaiitaje timu inayokipiga mchangani kwa miaka 4 mfululizo na sasa imeamua kukipiga mezani kwa kuomba points za mwanaume zikatwe?
 
Tff hawawez Fanya ujinga huo kujitekenya na kucheka wenyewe,. Yanga hawana kosa juu ya kumtumia kessy maana waliruhusiwa na kamati ya mashindano, kwa hiyo yanga wana Baraka zote za Tff juu ya utumizi Wa Kessy
 
Timu zikisajili huwa wanapeleka majina TFF. Na TFF wenyewe ndio wanidhinisha acheze ama vipi. Sasa cha kujiuliza TFF jina la Kessy walilipitisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…