Hili swala likienda CAF Tanzania inaweza kufungiwa kwa kosa la kupindisha sheria za CAF na FIFATimu zikisajili huwa wanapeleka majina TFF. Na TFF wenyewe ndio wanidhinisha acheze ama vipi. Sasa cha kujiuliza TFF jina la Kessy walilipitisha?
Wanaweza kupokonywa na CAF au FIFA wewe ndio ndezi kabisa
Afadhali wewe kidogo umeongea Jambo ambalo halijaegemea pande yeyote...
Sasa hao mbumbumbu.... wanataka Yanga watumikie kosa la TFF.... [emoji23]
Jukwaa limevamiwana wanywa virobaNgassa
Twite
Yondani
Tambwe
Tumewapiga bao la mkono kwote huko, bado unatuita hovyo? Kama Yanga ni hovyo, utaiitaje timu inayokipiga mchangani kwa miaka 4 mfululizo na sasa imeamua kukipiga mezani kwa kuomba points za mwanaume zikatwe?
unabishana na sheriaakae atulie huko tabora siasa imemshinda mpira umemshinda amekalia majungu tu
Na hapa ndipo ninapopata uthibitisho kuwa TAKUKURU kazi imewashinda walipaswa kuchunguza swala hili kiongozi kupinfisha sheria lazima kunakichomsukuma...Hili swala likienda CAF Tanzania inaweza kufungiwa kwa kosa la kupindisha sheria za CAF na FIFA
Na hapa ndipo ninapopata uthibitisho kuwa TAKUKURU kazi imewashinda walipaswa kuchunguza swala hili kiongozi kupinfisha sheria lazima kunakichomsukuma...
Sheria gani mpaka leo haija tafsiriwa?unabishana na sheria