Yanga isiwe kama kilabu cha pombe

Yanga isiwe kama kilabu cha pombe

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Wiki iliyopita Ghazwat alileta uzi humu akishangazwa na tabia ya Yanga kuharibu log za timu zingine hasa zenye logo nyekundu.

Wadau na wanamichezo walikerwa na matukio hayo yasiyo ya kimichezo na kuishauri Yanga iache mara moja tabia hiyo. Baada ya malalamiko hayo Yanga ikajirekebisha na hatimaye mechi kati yake na Coastal Union waliweka logo nyekundu.

Leo kwenye official page yao wameweka tangazo la mechi kati yake na Simba Sc ajabu wamechakachua logo ya Simba Sc na kuondoa rangi nyekundu.

Baada ya mashabiki wa page yao kushangazwa na jambo hili wakaona isiwe tabu wakabadilisha tangazo. Cha kushangaza tena wameandika jina la Simba Sc kichoko sana badala ya jina kamili la club hiyo.

Najiuliza hiki ni kilabu cha pombe au club ya mpira inayoshiriki ligi kuu?
Screenshot_20200306-132450_Chrome.jpg
 
Attachments

  • 87524041_2863549013666479_1102235483150221312_o.jpg
    87524041_2863549013666479_1102235483150221312_o.jpg
    233.6 KB · Views: 2
Wiki iliyopita Ghazwat alileta uzi humu akishangazwa na tabia ya Yanga kuharibu log za timu zingine hasa zenye logo nyekundu.

Wadau na wanamichezo walikerwa na matukio hayo yasiyo ya kimichezo na kuishauri Yanga iache mara moja tabia hiyo. Baada ya malalamiko hayo Yanga ikajirekebisha na hatimaye mechi kati yake na Coastal Union waliweka logo nyekundu.

Leo kwenye official page yao wameweka tangazo la mechi kati yake na Simba Sc ajabu wamechakachua logo ya Simba Sc na kuondoa rangi nyekundu.

Baada ya mashabiki wa page yao kushangazwa na jambo hili wakaona isiwe tabu wakabadilisha tangazo. Cha kushangaza tena wameandika jina la Simba Sc kichoko sana badala ya jina kamili la club hiyo.

Najiuliza hiki ni kilabu cha pombe au club ya mpira inayoshiriki ligi kuu?View attachment 1378849
Yawezekana kwao wanahisi ndo sahihi (viongozi)
 
Kwa akili zao zilivyokuwa mbaya hata na hili pia kusema watalalamika TFF wanaonewa
 
Mkuu hiyo ndio maana halisi ya Vyura fc, wao muda wote wanawaza kunesa nesa kwenye madimbwi pale jangwani wala usiwashangae kabisaa.

Kumbuka walikataa log ya mdhamini wa ligi kuu Vodacom yenye rangi nyekundu wakidai ni haramu kwao.

Kumbuka walikataa kupanda bus la abood alipojitolea kuwapeleka singida bus lao lilipoharibika morogoro kisa lina rangi nyekundu.

Wana mambo ya ovyo sana hao, ngoja tu hiyo j pili tuwafunge watulie.
 
Mkuu hiyo ndio maana halisi ya Vyura fc, wao muda wote wanawaza kunesa nesa kwenye madimbwi pale jangwani wala usiwashangae kabisaa.

Kumbuka walikataa log ya mdhamini wa ligi kuu Vodacom yenye rangi nyekundu wakidai ni haramu kwao.

Kumbuka walikataa kupanda basi la abood alipojitolea kuwapeleka singida basi lao lilipoharibika morogoro kisa lina rangi nyekundu.

Wana mambo ya ovyo sana hao, ngoja tu hiyo j pili tuwafunge watulie.
Duuh unakumbukumbu sana, hawa vyura mwisho wao tarehe 8

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wiki iliyopita Ghazwat alileta uzi humu akishangazwa na tabia ya Yanga kuharibu log za timu zingine hasa zenye logo nyekundu.

Wadau na wanamichezo walikerwa na matukio hayo yasiyo ya kimichezo na kuishauri Yanga iache mara moja tabia hiyo. Baada ya malalamiko hayo Yanga ikajirekebisha na hatimaye mechi kati yake na Coastal Union waliweka logo nyekundu.

Leo kwenye official page yao wameweka tangazo la mechi kati yake na Simba Sc ajabu wamechakachua logo ya Simba Sc na kuondoa rangi nyekundu.

Baada ya mashabiki wa page yao kushangazwa na jambo hili wakaona isiwe tabu wakabadilisha tangazo. Cha kushangaza tena wameandika jina la Simba Sc kichoko sana badala ya jina kamili la club hiyo.

Najiuliza hiki ni kilabu cha pombe au club ya mpira inayoshiriki ligi kuu?View attachment 1378849
Kwani wewe mwenzetu unaonaje je yanga ni klabu ya pombe au ya soka?! Mtu mzima umetafakari na kuamua kuja na swali Kama je yanga ni klabu ya soka au pombe? Tuambie kwanza wewe....
 
Wiki iliyopita Ghazwat alileta uzi humu akishangazwa na tabia ya Yanga kuharibu log za timu zingine hasa zenye logo nyekundu.

Wadau na wanamichezo walikerwa na matukio hayo yasiyo ya kimichezo na kuishauri Yanga iache mara moja tabia hiyo. Baada ya malalamiko hayo Yanga ikajirekebisha na hatimaye mechi kati yake na Coastal Union waliweka logo nyekundu.

Leo kwenye official page yao wameweka tangazo la mechi kati yake na Simba Sc ajabu wamechakachua logo ya Simba Sc na kuondoa rangi nyekundu.

Baada ya mashabiki wa page yao kushangazwa na jambo hili wakaona isiwe tabu wakabadilisha tangazo. Cha kushangaza tena wameandika jina la Simba Sc kichoko sana badala ya jina kamili la club hiyo.

Najiuliza hiki ni kilabu cha pombe au club ya mpira inayoshiriki ligi kuu?View attachment 1378849
Wewe baadala ya kuleta hoja unaleta...kebehi ...wewe hoji kwanini hao yanga wamefanya hivyo...siyo kuleta hoja za kwenye vijiwe vya kahawa na mazungumzo ya saloon...eti yanga klabu ya pombe....since when??!! Yaani wewe kwa umri huo hufahamu kuwa kwa baadhi ya dini pombe ni haramu??! Sasa unapoamua kuuliza kuwa na Kama yanga ni klabu ya pombe huoni Kama unawadhihaki wanayanga wenye dini inayoona pombe ni haramu??! Yaani katika kuandika unafikiri hapo hapo tu baadala ya kuona mbali kwa andiko kuhusu repercussions na consequencies zake...huo ni ujuha wa kupindukia...mnajua kutania na kuwadhihaki wengine lakini mkitaniwa nyie huwa mnakuwa wakali Sana...Kuna mmoja alitaniwa hapa na eti akaamua na kufunga Safari eti kwenda yanga kurudisha fedha alizopewa Kama msaada kwa matibabu...ni ujinga wa kiwango Cha juu kabisa...mashabiki wa yanga walichanga fedha hizo yeye anarudisha kwa uongozi ...hovyo kabisa...fedha ilishafanya kazi iliyokusudiwa Sasa eti anarudisha...hovyo kabisa...
 
We Chura fc kwa hiyo hapo hoja yako ni ipi?
Na sehemu ipi kwenye huu uzi mtoa mada alipozungumzia masuala ya Dini? Yani unataka kutuambia kuwa kubadili rangi ya logo ya timu ya Simba SC ni Utani?
We Chura fc acha kutetea ujinga.
 
Wewe mikia fc aka miamala fc hoja yako ni ipi ..kwa hiyo unataka kusema kuiita yanga kuwa klabu ya pombe eti ni utani?
 
Back
Top Bottom