Yanga itaacha lini soka la janja janja?

Mr Alpha

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2018
Posts
273
Reaction score
765
Kama umefuatilia mechi za Yanga karibuni utagundua wakicheza na timu dhaifu au vibonde wanakamia na kuzipopoa goli nyingi kwelikweli ila wakikutana na timu za super league wanaufyata

Hili tunaita soka la papatu papatu pangu pakavu pwagu na pwaguzi maana kama huna mikakati ya kupata ushindi mnono dhidi ya vigogo wakubwa utaishia kuwafuma vibonde na kuwaonea hao tu hufiki popote ndugu yangu

Tumeona leo tena wadogo zetu Namungo walivyokuwa wahanga wa soka fumanizi la janja janja, Wamekula 3

Yanga kama kweli wababe, tuone hayo makali kwenye klabu bingwa Afrika.
 
Kama umefuatilia mechi za Yanga karibuni utagundua wakicheza na timu dhaifu au vibonde wanakamia na kuzipopoa goli nyingi kwelikweli ila wakikutana na timu za super league wanaufyat....
Ukilewa usi'login
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…