Yanga itaenda kuvunja rekodi zote zilizowekwa na Simba kimataifa

eti 2016 Yanga aliingia robo fainali shirikisho,😂😂
 
Attachments

  • IMG_20230311_142354_0.jpg
    303.3 KB · Views: 4
Yaani imekuuma kweli kuiweka Simba kwenye Super Cup. Haya masahihisho, CAF Super League. Umefurahi sasa?
Ili ucheze CAF super cup ni lazima uwe na kikombe cha CAF, hivyo mfano wako sio sahihi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Yanga ipi iliyofika robo fainali shirikisho mwaka 2016
2016 ROBO FAINALI ndio ilikuwa makundi, kipindi hiko Makundi huwa mawili 2. KUNDI A, & B hivyo hiyo huitwa ROBO FAINALI
 
2016 ROBO FAINALI ndio ilikuwa makundi, kipindi hiko Makundi huwa mawili 2. KUNDI A, & B hivyo hiyo huitwa ROBO FAINALI
Hyo robo fainali ilicheza na timugani ili ifike nusu fainali....😀😀😀
2016 plus 2018 utoporoooo mliburuza mkia hatua ya makundi shirikisho mlikua wa mwisho watu walikua wakijipigia nje ndani
 
Attachments

  • Screenshot_20230311-143433.jpg
    37.7 KB · Views: 3
  • Screenshot_20230311-143315.jpg
    35.5 KB · Views: 3
Yaani imekuuma kweli kuiweka Simba kwenye Super Cup. Haya masahihisho, CAF Super League. Umefurahi sasa?
Tofautisha kati ya CAF super cup na CAF super league ni vitu viwili tofuati.
 
Hyo robo fainali ilicheza na timugani ili ifike nusu fainali....[emoji3][emoji3][emoji3]
2016 plus 2018 utoporoooo mliburuza mkia hatua ya makundi shirikisho mlikua wa mwisho watu walikua wakijipigia nje ndani
Sio mbaya ukamuelimisha kwa kumtajia timu zilizocheza robo fainali mwaka 2016. Pengine ameteleza tu, humu hatunyimani elimu kwenye kitu ambacho umekosea unasahihishwa. Mkuu muelekeze ni timu zipi zilizocheza robo fainali ya CAF confederation cup mwaka 2016
 
Mwaka 1995 kulikua na kombe la Shirikisho [emoji23][emoji23]
Winner's cup ndio lililokuwa kombe lenye hadhi ya pili Kwa ukubwa Afrika ngazi ya vilabu ambapo Kwa Sasa kombe lenye hadhi ya pili kwa ngazi ya vilabu ni kombe la shirikisho
 
eti 2016 Yanga aliingia robo fainali shirikisho,[emoji23][emoji23]
We bado hauelewe mpira, timu zikishafika 8 hapo lazima iyo hatua iwe robo fainali ili kupata timu 4 za kucheza nusu fainali kisha zinabaki 2 zakucheza fainali. Sasa Mwaka 2016 Yanga ilifanikiwa kuingia miongoni mwa timu 8 zilizounda makundi mawili, na washindi wawili wa makundi mawili ndio waliocheza nusu fainali, kwaio pale alipokuwa Yanga tayari ashafika iyo robo mnayotamba nayo kutwa kucha hapa..
 
Mkuu bahati nzuri nimejaribu kufatilia kumbe wana Yanga wengi wapo vizuri upstairs, wanabishana kwa hoja. Wanasimba wengi wameathirika na propaganda za uwongo
 
Tuwekee timu zilizofika 8 bora Afrika mwaka 2016.
Mkuu umeni quote mimi tena, mimi mwenyewe nasubiria wanaosema kuwa Yanga akucheza robo fainali waje watuorodheshee timu zilizocheza robo fainali mwaka 2016
 
Mkuu umeni quote mimi tena, mimi mwenyewe nasubiria wanaosema kuwa Yanga akucheza robo fainali waje watuorodheshee timu zilizocheza robo fainali mwaka 2016
Hahahah nimekosea tu kaka
 
Mkuu umeni quote mimi tena, mimi mwenyewe nasubiria wanaosema kuwa Yanga akucheza robo fainali waje watuorodheshee timu zilizocheza robo fainali mwaka 2016
Aliyesema yanga imecheza robo fainali Shirikisho 2016 ndio atujibu hiyo robo fainali Yanga alicheza na timugani....na timugani ilienda nusu fainali usitake kuhamisha magoli😀😀
 
Attachments

  • Screenshot_20230311-193224.jpg
    50.7 KB · Views: 5
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…