Yanga itaenda kuvunja rekodi zote zilizowekwa na Simba kimataifa

Kwani wanashiriki mashindano yote, Halafu kumbe simba isingekuwepo na yanga isingekuwepo pia.
 
Mimi ni simba ila naunga mkono huu uzi kwa 100%, Yanga wapo vizuri kila idara
 
Uhuru Kwa Sasa na wakati huo 1993 Taifa.
Ufafanuzi mzuri
 
Mimi ni mwananchi halisi lakini sioni aibu kusema Simba ilishafika fainali ya kombe la shirikisho na kupoteza Kwa Stella Artois1993. Mchezo ulichezwa Kwa siku mbili. Wenye kumbukumbu nzuri tukumbusheni
Halikua shirikisho Bali winners cup
 
Umeleza kifasaha kabisa humu vijana wajuzi wanaokota taarifa kijiweni wanaleta hapa wamefanya hivi forum imekuwa ya hivyo sana.

Mtu hata taarifa sahihi hana lakini anakaza shingo kweli Dah shida sana hii
 
Mkuu upo vizuri.. Kumbe tunapotoshwa sana na hawa wachambuzi, paka kuna vilaza wa Simba wanaamini wao ni kaimu bingwa wa mashindano ya pili Kwa ukubwa barani Afrika iyo 1993
 
Hiyo ndiyo ikasababisha hadi Rais akaacha shughuli yake kuja uwanjani? Hadi mdhamini akatoa ahadi za magari kwa wachezaji?
Na baada mechi akawaita Kichwa cha mwendawazimu? Aisee hili Neno kumbe Simba ndio mwanzilishi wake? utopolo og wewe ni peponi Moja Kwa Moja Leo umenifungua macho. Na kuanzia leo sibishani na wendawazimu ambao Hadi raisi wa nchi aliona uwendawazimi wao
 
Nilidhani umeweka point za kusapoti maelezo yako kumbe utopolo mtupu...
 
Tp Mazembe ni timu ya pili yenye mafanikio makubwa barani Afrika baada ya Al Ahly, bingwa mara 6 Afrika na amekugaragaza mara zote ulizokutana naye hadi mechi za kirafiki
Ndio maana wewe ni utopolo... nakushauri achana na mpira ila nenda kaangalie rangi iliyopakwa pale jangwani ikikauka. Utainjpi zaidi kuliko mpira
 
Kila laheri wawakilishi...
 
Mkuu fafanua zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…