dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Labda mkuu ila naona akitufunga kwao kuleTP Mazembe akishinda mechi mbili atakuwa na tisa sio kumi.
Yanga hamna akiliUkiingia google ukatafuta orodha ya mabingwa wa CAF confederation cup na timu zilizokuwa runner's up kwenye hilo kombe, huwezi kukutana na timu ya Simba kwenye hiyo orodha kwasababu CAF cup sio CAF confederation cup
Uliyem Quote wala hakusema kuwa kombe la shirikisho limetokana na kombe la CAF winners. Kasome post namba 113 vizuri umuelewe alichoongea.Sasa hiki ndicho nilichoeleza mini huyo jamaaa yenu kapuyanga.
Yeye anasema kombe la shirikisho limetokana na kombe la CAF winners. Wakati uhalisia ni limetokana na muunganiko wa CAF winners na CAF cup.
Mnakuja na hoja za kijinga kabisa, haya tujikite kwenye hoja kuuUliyem Quote wala hakusema kuwa kombe la shirikisho limetokana na kombe la CAF winners. Kasome post namba 113 vizuri umuelewe alichoongea.
Kuna sehemu nimesema kuwa mashindano ya CAF hayatambuliki? Nilichokisema mimi ni kuwa CAF cup ni tofauti na CAF confederation cup na ndio maana ukitafuta historia ya waliochukua kombe na waliofika fainali ya CAF confederation cup huwezi kuona Simba. Mada iliyoletwa hapa na mleta uzi ni Yanga kuwa ndio timu ya kwanza kucheza nusu fainali ya CAF confederation cup kwa Tanzania. Mkampinga mkidai kuwa Simba alishawahi kucheza fainali ya michuano hiyo mwaka 1993 kitu ambacho sio sahihi. Simba alicheza fainali ya CAF cup na sio CAF confederation cup.Yanga hamna akili
Ulitaka uikute Simba kwenye list ya mabingwa, wakati hajawai kuchukua kombe la shirikisho.
Sisi tunasema tumewahi fika fainali, sasa kama wewe unasema hayo mashindano ya Winner's cup na CAF cup hayatambuliki, nimekuletea list ya timu zilichokuwa hayo mataji, ikiwa kwa mnavyodai shirikisho lilianza 2004View attachment 2545653View attachment 2545654
NdumbaSimba ni bingwa wa nini?
Bingwa aliyechukua 1993 yupo hapo kwenye list ya mabingwa wa shirikisho, na huyo ndiye tuliyecheza naye fainali.Kuna sehemu nimesema kuwa mashindano ya CAF hayatambuliki? Nilichokisema mimi ni kuwa CAF cup ni tofauti na CAF confederation cup na ndio maana ukitafuta historia ya waliochukua kombe na waliofika fainali ya CAF confederation cup huwezi kuona Simba. Mada iliyoletwa hapa na mleta uzi ni Yanga kuwa ndio timu ya kwanza kucheza nusu fainali ya CAF confederation cup kwa Tanzania. Mkampinga mkidai kuwa Simba alishawahi kucheza fainali ya michuano hiyo mwaka 1993 kitu ambacho sio sahihi. Simba alicheza fainali ya CAF cup na sio CAF confederation cup.
Kwanini haijawahi kutwaa makombe 28 ya ligi kuu bara?Sasa kama mtu unakataa kuwa Simba haijafika fainali shirikisho kwa kigezo kuwa mashindano yale yalikuwa ni CAF cup na sio kombe la shirikisho, basi mkatae kuwa nanyinyi utopolo hamjawahi kutwaa makombe 28 ya ligi kuu Tz bara maana halikuitwa hivyo
Ligi kuu Tanzania bara lilianza kuitwa 1997 huko nyuma ilikuwa haiitwi hivyo hapo utasemaje ?Kwanini haijawahi kutwaa makombe 28 ya ligi kuu bara?
Ilikuwa inaitwaje huko nyuma?Ligi kuu Tanzania bara lilianza kuitwa 1997 huko nyuma ilikuwa haiitwi hivyo hapo utasemaje ?
Chanzo ulichokitumia sio sahihi, naomba unijibu je kabla ya mwaka 2004 CAF waliwahi kuwa na michuano inayoitwa CAF confederation cup?Bingwa aliyechukua 1993 yupo hapo kwenye list ya mabingwa wa shirikisho, na huyo ndiye tuliyecheza naye fainali. View attachment 2545682
Bingwa alivyoenda kambi Dubai, tunataka na tulitaka tuone faida ya wao kwenda Dubai.Simba ni bingwa wa nini?
Tutumie tu akili ya kawaida ili twende sawa juu ya uongo na ukweli wa source yako ya taarifa. Je kabla ya mwaka 2004 CAF walikuwa na michuano inayotambulika kwa CAF confederation cup?CAF Confederation Cup - All winners
This is an overview of all title holders of the competition CAF Confederation Cup in chronological order. It also shows record winners and champion managers.www.transfermarkt.com
Yanga haijawahi kuchukua makombe 28 ya ligi kuu Tanzania bara, ikiwa mashindano hayo yalianza 1997Chanzo ulichokitumia sio sahihi, naomba unijibu je kabla ya mwaka 2004 CAF waliwahi kuwa na michuano inayoitwa CAF confederation cup?
Yanga haijawahi kuchukua makombe 28 ya ligi kuu Tanzania baraTutumie tu akili ya kawaida ili twende sawa juu ya uongo na ukweli wa source yako ya taarifa. Je kabla ya mwaka 2004 CAF walikuwa na michuano inayotambulika kwa CAF confederation cup?
Tutafika tu mkuu kwenye ukweli. Haya niambie kabla ya mwaka 1997 ligi ya Tanzania bara haikuwepo?Yanga haijawahi kuchukua makombe 28 ya ligi kuu Tanzania bara, ikiwa mashindano hayo yalianza 1997