Mashabiki wa Kandambili mkae mkijua mechi ya Oktoba 19 kipigo kinawasubiri, LUNYASI tupo tayari, tumejipanga ipasavyo kutoa kipigo Cha mbwa Mwizi.
Siku hiyo mtatoka Lupaso vichwa chini, Utopolo mtutusamehe, mtasambaratika. Kipigo hicho kitaleta matokeo Hasi kwa Yanga, hatimaye timu itasuswa na GSM hivyo Mzee MAGOMA atarudishiwa timu yake.
Uongozi wa Magoma utainusuru timu na kuiwezesha kufanya vizuri zaidi katika mashindano ya Klabu Bingwa CAF.