Yanga jipangeni kisaikolojia, Oktoba 19 kipigo hakiepukiki

Kohava

Member
Joined
Mar 22, 2024
Posts
45
Reaction score
50
Mashabiki wa Kandambili mkae mkijua mechi ya Oktoba 19 kipigo kinawasubiri, LUNYASI tupo tayari, tumejipanga ipasavyo kutoa kipigo Cha mbwa Mwizi.

Siku hiyo mtatoka Lupaso vichwa chini, Utopolo mtutusamehe, mtasambaratika. Kipigo hicho kitaleta matokeo Hasi kwa Yanga, hatimaye timu itasuswa na GSM hivyo Mzee MAGOMA atarudishiwa timu yake.

Uongozi wa Magoma utainusuru timu na kuiwezesha kufanya vizuri zaidi katika mashindano ya Klabu Bingwa CAF.
 
Baada ya gemu usije kumlaumu mangungu au mchezaji yeyote kuwa duka ameuza gemu.
 
Mashabiki wa nyuma mwiko huwa mnajua kutuchota mashabiki wa Simba.

Mimi nimekataa kuingia kwenye 18 za propaganda zenu za kipuuzi.Mechi ni ngumu mwenye bahati ndiye atashinda
 
Ndotoo ya mchanaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…